Rorexxie - Chura Songtexte

Songtexte Chura - Rorexxie




Chura eee njoo nikutume wewe nenda
Kamwambie kuna mwanaume anakupenda
Chura eee njoo nikutume wewe nenda
Kamwambie kuna mwanaume anakupenda
Duniani nimezunguka kila kona, kama yeye nahisi hakuna
Umshawishi ikishindikana usirudi tena
(Najua chura ukikutana namlima utaruka dharula)
(Kwenye maji hutozama, utavuka)
(Chura unaweza kusimama kugeuka)
(Mollah, chura afikesalama atafika ye-ye)
Wende wende, weeende
Wende wende, weeende
Chura chura wende
Chura chura wende
Nilimtuma njiwa, akapewa mtama hakurudi
Na minimechukia nalima mtama kwa juhudi
Nilimtuma njiwa, akapewa mtama hakurudi
Na minimechukia nalima mtama kwa juhudi
Kwenye shamba najimba kisima, huku nawaza rafiki sina
Huzuni yangu mungu kaiona we tumekutana
(Najua chura ukikutana namlima utaruka dharula)
(Kwenye maji hutozama, utavuka)
(Chura unaweza kusimama kugeuka)
(Mollah, chura afikesalama atafika ye-ye)
Wende wende, weeende
Wende wende, weeende (Drucula)
Chura chura wende
Chura chura wendeee
Kwako napata nilichokitaka, ni-well, done
Moyo unakupa ulichokitaka ni burudani
Naweka pindo kwenye kiraka nihayana
Mbuzi kumficha kwenye kichaka ni abadon
Nakutuma chibebe uwende, nakupa wapekee utende
Navuma utete uende, wanyuma wasepe ulete
Kwa-kwako kisura nakutuma chura
Nenda ukirudi utakula, kaza ndura usikunje sura
Nenda please nidharula (murder)
Wende wende, weeende
Wende wende, weeende
Chura chura wende
Chura chura wendeee



Autor(en): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie - Brokėn
Album Brokėn
Veröffentlichungsdatum
26-10-2023




Attention! Feel free to leave feedback.