Songtexte Yanini Malumbano - Rorexxie
(Yanini
malumbano,
yanini
maneno?)
(Najiweka
pembeni
naipusha
msongamano)
(Bora
nitulie,
ningoje
changu
na
mie)
(Mollah
nijalie
haya
yasijirudie)
(Yanini
malumbano,
yanini
maneno?)
(Najiweka
pembeni
naipusha
msongamano)
(Bora
nitulie,
ningoje
changu
na
mie)
(Mollah
nijalie
haya
yasijirudie)
Kisa
na
mkasa
yalionikuta
Dar-,
subiri
kwamza
machozi
nafuta
Nikikumbuka
juzi
nilipopataga,
msichana
mrembo
mtam'
kama
amabatata
Nilivyo
pata
nilidhani
nimepata
kumbe,
nimepatikana
Mitaa
ya
kati
sasa
sitaki
kupita
mwenzenu
mi
naona
noma
Umalaya
chart
kashika,
anagawa
kwa
kila
rika
Umalaya
chart
kashika,
anagawa
kwa
kila
rika
Ebu
shika
talaka
nendaaa,
(nendaa!)
nenda!
Mambo
uliyo
tenda,
kuyavumilia
nimeshindwa
Nendaaa,
nendaaa,
nenda
hata
kama
zamani
nilipenda
(Yanini
malumbano,
yanini
maneno?)
(Najiweka
pembeni
naipusha
msongamano)
(Bora
nitulie,
ningoje
changu
na
mie)
(Mollah
nijalie
haya
yasijirudie)
(Yanini
malumbano,
yanini
maneno?)
(Najiweka
pembeni
naipusha
msongamano)
(Bora
nitulie,
ningoje
changu
na
mie)
(Mollah
nijalie
haya
yasijirudie)
Mengi
nimevumilia,
hayapungui
yanazidia
Hivi
kwanini
my
dear
ama
haujui
kwamba
naumia
Pombe
kichwani
umeingia,
eti
saa
nzima
walia
Mimi
gheto
nishajilalia,
kitandani
ukatapikia
Kigezo
sikukupenda,
eti
kupenda
nisikopendwa
Sasa
kwanini
unanitenda
au
ndo
malipo
ya
kukupenda
wewe
Nisicho
pinga
ni
kwamba
ukweli
nilikupenda
wewe
Nilicho
shindwa
nikuvumilia
unayotenda
baibe
Nendaaa,
nendaaa...,
nenda
hata
kama
zamani
nilipenda
(Yanini
malumbano,
yanini
maneno?)
(Najiweka
pembeni
naipusha
msongamano)
(Bora
nitulie,
ningoje
changu
na
mie)
(Mollah
nijalie
haya
yasijirudie)
(Yanini
malumbano,
yanini
maneno?)
(Najiweka
pembeni
naipusha
msongamano)
(Bora
nitulie,
ningoje
changu
na
mie)
(Mollah
nijalie
haya
yasijirudie)
Washkaji
walinambia
kwamba
"demu
nikiruka
njia"
Nilidhani
wamenipangia
kunitania
nikapuuzia
Chezo
lilipoaanza
nilidanganyaga
naenda
mwanza
Kurudi
kitu
chakushangaza
nakuta
kidume
kimejilaza
gheto
Nendaaa,
nendaaa,
nenda
aeh
Ebu
shika
talaka
nenda,
baiby
gal
baby
nenda
Mambo
uliotenda,
kuyavumilia
nimeshindwa
mie!
Nendaaa,
nendaaa,
nenda
hata
kama
zamani
nilipenda

1 Ningekusamehe
2 Bangi Bangi
3 Yanini Malumbano
4 Sitoi
5 Binti Kimanzi
6 Tamaa mbaya
7 Money money
8 Wajane
9 Sauti yangu
10 Kalamba mwiko
11 Naficha
12 Nyumba ya milele
13 Nimerudi Salama
14 Jieleze
15 Mali za Urithi
16 Bangi
17 Maisha Ya Bongo
18 Nilitegemea
19 Huyo Bwana Si Mfano
20 Mama Neema
21 Watu Pori
22 Subira
23 Mbele Yako Nyuma Yangu
24 Nia Yao
25 Chura
Attention! Feel free to leave feedback.