Breeder LW - Missed Call Lyrics

Lyrics Missed Call - Breeder LW



Si uongo napenda wasichana
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Simu flight mode siko
Patana na msupa hapo kwa inbox
Ashasema ati Fadhela si tu link up
Nayo nayo nikamsho io ni simple
Next day hizo ma vida asha repost
Hapo hapo kwa Edgar Obare ndio ziko
Ndio maana chali yake ako pissed off
Na Mechi ilishaanza kabla kick off
Lakini buuudaa please note
Huyu msupa alinimada na mastingo
Alinivua trao boxer na ma reebooks
Nashindwa ni uchawi ama alizaliwa ivo
Hah
Hii Nairobi chunga bibi
Kuna ma fisi ma gyallis ma gwiji
Na ukitokwa usiingize baridi
Ni kawaida ni tabia za jiji
Si uongo napenda wasichana
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitakima missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Sijaijua kumbe Allano ni FBI
Ameni ambush,ki ghafla nisi try hide
Lakini nishapanda mbegu sa in case I die
Me ni Bazenga daddii Ntago down in style
Maswali mob
Ati Breeder mbona umezima line
Na uko hapa lodgo unanilimia wife
Me siamini ati we ni morio wa mine
Na leo ni leo na hautoki hapa alive
Natetemeka mbele ya itoka unaeza zirai aii
Na siezi fly saa hii kwa hii scene ya crime aii
Ashai ki cock ashanipiga na bye bye
Wife yake ni manduru aki wika gai gai
After trigger kuipresss ndeng'a ikajam
Me ni nani hapo kwa window si nika jump
Mguu niponye natoka siaka me niki run
Mungu asanti acha leo me nika some psalms
Si uongo napenda wasichana
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana



Writer(s): Paul Otieno


Breeder LW - Missed Call - Single
Album Missed Call - Single
date of release
04-11-2020



Attention! Feel free to leave feedback.