Lyrics Zigo - Ay
Picha
linaanza
nshadata
Picha
linaanza
nshawaka
Picha
linaanza
nshachanganyikiwa
Picha
linaanza
nshadata
Ukweli
mie
amenikamata
Kwa
jinsi
navyomuangalia
Akinipatia
nami
sitamuacha
Kwa
nyuma
ananipa
mineso
Moyoni
ananipa
mateso
Wa
kishua
ila
matendo
ya
ghetto
Mtamu
na
hapendi
vya
dezo
Nakula
kwa
macho,
5 star
girl
si
mchezo
Emu
ona,
emu
ona
Ukweli
mie
amenikamata
Kwa
jinsi
navyomuangalia
Akinipatia
nami
sitamuacha
Aa
aah
ana
rangi
flani
ya
kimanga
Lugha
lafudhi
ya
kitanga
Usiombe
akapita
na
khanga
(wu!)
Nyuma
figusu
majanga
(wu!)
Ana
mwendo
wa
kung'onya
Tena
alivyoshona
Umbo
kama
katuni
wa
kuchora
Aah
Singida-Dodoma,
kitandani
Sodoma
Kiuno
kama
nyuki,
dondora
Maneno
ya
watu
sumu
yana
hila
Wasije
leta
referee
ka
mpira
Chunga
katu
usije
ukanzira
Nkashikwa
na
uchizi
yaani
utaila
(Rooh!)
Mtoto
yani
mukidi
mukide
Mpaka
ndani
shigidi
shigide
Hasa
aki-lick
D,
lick
De
Ye
ndo
mama
Chibudi
Chibude
eh
Ukweli
mie
amenikamata
Kwa
jinsi
navyomuangalia
Akinipatia
nami
sitamuacha
X2
Too
se-too
sex
yeah
man
Buzye-buzye
ni
amani
Mungu
ameumba
hapa,
yeah
man
Natamani
nikaseme
nae,
yeah
man
Naamini
amezaliwa
ili
mimi
niwe
nae
eh
Mpaka
sasa
nimechanganyikiwa
Akaja
ye
awe
nami
Mutoto
yani
mukidi
mukide
Mpaka
ndani
shigidi
shigide
Hasa
aki-lick
D,
lick
De
Ye
ndo
mama
Chibudi
Chibude
eh
Naamini
amezaliwa
ili
mimi
niwe
nae
Mpaka
sasa
nimechanganyikiwa
Akaja
ye
awe
nami
Iwe
iwe
iwe
Iwe
iwe
hii
ndoto
Ni
tamu
mpaka
utamu
umepitiliza
Akikaa
na
wengine
wanachukiza
Shika
leka
dige
yeah
man
Ngoja
niongeze
bidii
yeah
man
Ukute
hili
zali
langu
yeah
man
Nikapige
masinema
nae
yeah
man
Sheaaa!
Yessaya!
Nakula
kwa
macho
Kwa
macho
Nakula
kwa
macho
Kwa
macho
Nakula
kwa
macho
Kwa
macho
Ukweli
mie
amenikamata
Kwa
jinsi
navyomuangalia
Akinipatia
nami
sitamuacha
Attention! Feel free to leave feedback.