Lyrics Dan'Hela - AY Masta
Haya
Haya
Haaaaa...
DanHela
Inaonyesha
kabisa
hupendi
watu
Sogea...
(Karibu)
Bila
wewe
jua
Maisha
si
kitu
DanHela...
Ooh
Ooh
Inaonyesha
kabisa
hupendi
watu
Usijepotea...
(DanHela)
Bila
wewe
jua
maisha
si
kitu
hayaya
Nimekubamba
wanakutongoza
Kila
mmoja
anakuhitaji
uwe
kwa-ke
Wengine
mpaka
wana-kuvusha
border
Ili
mradi
kwao
we
ulai-nike
Shughuli
ni
watu
Na
mimi
si
kiatu
(DanHela)
Niahidi
kitu
Hutoniacha
mtupu
Kila
nikikuona
moyo
wangu
haujiwezi
Na
mimi
siku
moja
nitaenjoy
lako
penzi
(DanHela)
Muda
mwingi
nakuwaza
niwe
macho
au
kwa
njozi
Naamini
siku
moja
nitaenjoy
lako
penzi
(DanHela)
DanHela
Inaonyesha
kabisa
hupendi
watu
Sogea...
(Karibu)
Bila
wewe
jua
Maisha
si
kitu
DanHela...
Ooh
Ooh
Inaonyesha
kabisa
hupendi
watu
Usijepotea...
(DanHela)
Bila
wewe
jua
Maisha
si
kitu
hayaya
Wengine
unawafanya
wanapaa
(wanapaa)
Wengine
Chali
miguu
juu
Wengine
shida
boom
bye
bye
(boom
bye
bye)
Wengine
kila
siku
resi
tu
Njoo
Wee...
Unasakwa
na
wanaume
Njoo
Wee...
Ndugu
wanagombana
si
basi
uchune
Wote
unaoishi
nao
ni
lazima
wavume
Haya-Haya
aaaaa...
Boomba
Na-ni
asiyependa
Vumba
Usipolisaka
utakula
Pumba
Lenye
Ubani
haliwezi
Vunda
Utachunda.
DanHela.
Ooh
Ooh
Inaonyesha
kabisa
hupendi
watu
Sogea...
(Karibu)
Bila
wewe
jua
Maisha
si
kitu
DanHela...
Ooh
Ooh
Inaonyesha
kabisa
hupendi
watu
Usijepotea...
(DanHela)
Bila
wewe
jua
Maisha
si
kitu
hayaya
Haya
hayaa
hayaa
Attention! Feel free to leave feedback.