Lyrics Moto Moto - Amos and Josh
Watu
wengi
nimeona,
mfano
wako
hakuna
Kwa
wema
umesifika,
imani
yako
hakika
mami
Tabibu
wa
moyo
wangu,
utanipa
dawa
gani
ju
paumapo
sipaoni
Juu
yako
taabani
(CHORUS)
Jua
likiwaka
niwe
nawe,
mchana
kutwa
Jioni
likitua
jua,
usiniache
Tuashe
moto,
moto,
moto
mimi
nawe
Penz
i
lituchome
tusiwe
Moto,
moto,
moto
mimi
nawe
Tusiwe,
tusiwe
Moto,
moto,
moto
mimi
nawe
Penzi
lituchome
tusiwe
Moto,
moto,
moto
mimi
nawe
Tusiwe,
tusiwe
Nikisema
nisikwambia,
nitaumiza
moyo
wangu
Na
nikisema
nikwambie,
sijui
utasema
vipi
mama
Tabibu
wa
moyo
wangu,
nitatunga
nyimbo
gani
Paumapo
sipaoni,
juu
yako
taabani
(CHORUS)
Moto,
moto,
hili
ni
sikio
la
kufa
Haliwezi
sikia
dawa,
labda
busu
moja
la
power
Moto,
moto
itabidi
nimewachuja
Ili
nipate
yangu
fursa
ya
busu
moja
la
power
Moto,
moto
hili
ni
sikio
la
kufa
Haliwezi
sikia
dawa,
labda
busu
moja
la
powe
(CHORUS)
Attention! Feel free to leave feedback.