Aslay - Bembea Lyrics

Lyrics Bembea - Aslay feat. Alikiba



Yooh
Yop
Na na na na na naa naaah
Oh oh ooh
It's new Aloneym
Wapi unawaumizaga niambie tuwakomeshe
Tuwakomeshe vishada wavimbe wateseke
We nipende tu nipe na nyota nitembelee
Wachawi vigagula baby tushikane tuwakemee
We ni dokta mi mgonjwa ndomaana nikikuona mwenzako ninapona
Umenijaa akilini ndomaana nakutaja mwenzako kila ngoma
Baby tuifiche hiyo siri
Tusionyeshe dhahiri
Wanga wanasubiri waone utavyonimwaga
Wambili awe mbili wakwanza tuwe wakweli
Aah natakata takata natakata na penzi lako
Na nitadata nitadata ukininyima hicho ulichokuwanacho
Naridhika ridhika naridhika na huba lako
Nakuahidi nitakufa nikija kulikosa hilo penzi lako
Bembea mahabuba bembea oooh
Bembea nakuruhusu ning'inia kwenye moyo wangu
Bembea laazizi bembea ooh ooh ooh
Bembea mwenzako nasikia raha sana
Nasi tunazima data
Simu zao tunakata
Tugandane kama mapacha wawili wawili wakeleke kamili
Yooh
Ulivyomtamu raha tele sukari usiongeze
Ujuzi unao uzuri unao nashiba mahaba nilegeze eh
Aaah ukinigusa unasisimua
Mjanja bingwa wakusasambua
Umeniweza mtoto wakishua
Shida zangu zote unatatua
Ndio maana nakupenda palipoufa tujenge
Usisikize wapambe we, we nipende nikupende
Na ndio maana nakupenda
Baby tuifiche hiyo siri
Tusionyeshe dhahiri
Wanga wanasubiri waone utavyonimwaga
Hey wambili awe mbili wakwanza tuwe wakweli
Wambea wanasubiri wapate chakusemaga
Bembea bembea unawamaliza
Bembea wakose chakusemaga kula kutafuna
Bembea bembea unawamaliza
Bembea wakose chakusemaga kula kutafuna
Na na le le wale
Oh ooh yei yeeih
Oooh ooh
Ooh oh



Writer(s): Ali Saleh Kiba, Aslay


Aslay - Bembea
Album Bembea
date of release
07-09-2019

1 Bembea



Attention! Feel free to leave feedback.