Aslay - Kwatu Lyrics

Lyrics Kwatu - Aslay



Mwaaah
Mwaaah
Mwaaah
Baby mim na wew nganga usije ukaenda kwa mganga
Dj ebu piga chalanga tuchezeeee
Wanauliza maswaliii tuwajibu kwa vitendo
Waambiee wajue me kwako nishatia nangaa
Fumba macho usije danga
Ukaniumiza roho
Nikila korosho kula karanga uzimeze ooh
Usiniachee nitatanga tanga yatima oh
Unioneshe alokufunza nyakanga kitandani joh
Nimeona wengi
Sana
Wazuri sana ila kwako nimekwama sijateleza kukuchagua
Nichochee nichochee
Kama moto nichochee
Kwatu roho yangu kwatu kua na wew
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yng kwatu kua na wew
Kwatu kwatu kwatu roho yng
Ukiwa mbali mwili wotee unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari mupenzii ebu kolezaa
Usijee ukakurupuka ukaniacha kwa jeneza
Familia yangu iko police inakutafuta wew
Nasikia una bonge la kesi lakuniteka mie
Oooh lololooh lakuniteka mie ee yeye aaah aaah
Waambie wajue me kwako nisha tia nangaa
Nimeona wengi sanaa wazurii sanaa ila
Kwako nimekwama sijateleza kukuchagua
Nichochee nichochee
Kama moto nichochee
Vunja mifupa kama meno ipo
Kwatu roho yangu kwatu ooooh polic kua na wew nitapigwa na maandishi
Utakuja kunipa kazi roho yng kwatu nikikukuta na watu roho yng kwatu
Nkikushka kiuno nishike mabega
Ayaah ayaah
Utaponigusa kokote mwenzako nalegea ayaah ayaah mmmh baby umo umo
Ulpo nshikia ayaah uking'olewa memo mwenzako navimba mdomo poa ayaah
(Wambie wajue mwenzako nshatia nanga)



Writer(s): Aslay


Aslay - Kwatu
Album Kwatu
date of release
12-09-2018

1 Kwatu




Attention! Feel free to leave feedback.