Aslay - Mahabuba Lyrics

Lyrics Mahabuba - Aslay



Ooh nasikia raha, nikiwa na wewe
Ooh nasikia raha, nikiwa na wewe
Ooh baby nasikia raha (oh baby)
Weka shuka kwa kitanda tuje tulale mama
Naomba ulale na kanga mana nimekumic sana
Tunanenepa mamaa japo pesa hatuna
Wanaumia sana kila wakituona
Et wanauza vocha
Cha ajabu wanabeepbeep tu
Wanatamani ningekuacha
Wanaona wivu wivu tu, ehh
Nakuita nandy ndindindi
Wanataka kukuteka washenzi
Hawajui mimi nawe toka enzi
Tabia zao wala sizipendi
Kitumbua ukitia mchanga nitaumbuka mwenzako
Tafadhali usijekunitenda watanizika mwenzako
Kuna vicent navichangachanga nitakupa mwenzako
Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mimi niwako
Ungejua sisemi, silali
Kwako vile siheme
We ndo kiboko yangu
Mahabuba nyongo, nyongo mkalia ini
Sinaga mwingine baba, nyongo mkalia ini
Shida yangu kukuona mzima baba njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana baba tangu enzi hizo
Wache wapark wamarange nimependa bodaboda iyee eh
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga baba eehh
Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee ehh
Uniletee boga ninapomiss burger iyee ehh
Japo wengi wanaumia wakituona ng′aring'ari
Wanatamani furaha yetu
Hawapendi kushuhudia tunavyozidi kwenda mbali
Wanatamani furaha yetu
Majuto majuto ni mjukuu nikikuacha
Ndo mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa
Ungejua sisemi silali
Kwako vile sihemi wewe ndio kiboko tangu
Mahabuba nyongo, nyongo mkalia ini
Sinaga mwingne baba nyongo mkalia ini
Zidisha mahaba mama nyongo mkali ini
Nakupenda nyongo nyongo mkalia ini
Wale walepale wanakupigia misele
Basi mimi na wewe tusiishi kama kambale kila mtu devu
Lala lalaa (lalala baba)
Mpenzi lala (usiniache)
Deka deka (ah nadeka mie)
Mpenzi deka (weeh)
Lala lalaa (lalala baba)
Mpenzi lala (usiniache)
Deka deka (ah nadeka mie)
Mpenzi deka (weeh)




Aslay - Mahabuba
Album Mahabuba
date of release
11-11-2017




Attention! Feel free to leave feedback.