Aslay - Mchepuko Lyrics

Lyrics Mchepuko - Aslay



Unapoelekea mchepuko
Wangu unanichosha
Mwenzenu
Kumlizaliza mke wangu
Jamani,
Inanichosha mwenzenu
Hata kama niko
Na wewe
Kimwana
Utulivu unatakiwa
Mimi bado ninamwenyewe
Kimwana
Utulivu unatakiwa
Unamrusha roho kwanini
Unamtambia
Amekosa nini?
Unaharibu
Hivyo
Nyumbani
Ananlilia kila siku mimi
Naunajua
Kumwacha siwezi
Kanizalia watoto mwenzako
Punguza kujishaua
Unaharibu kichizi
Unanipa
Changamoto mwenzako
Aah
Unamvilia mini, akivaa dera
Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela
Wewe una iphone,
Mwenzako ana motorola
Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela
Vibaya hivyo
Mchepuko, mchepuko
Unamlizamke wangu
Mchepuko, mchepuko
Unamlisz mke wango
Ninakupa mapesa
Unaniita sponsor
Unaniongopea
Unanikosea
Tatizao hiko kishepu na kisura chako
Ndo kinanipa mawazo mwenzako
Nashindwa kukuacha mwenzako
Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko
Unamvilia mini
Akivaa dera
Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela
Wewe una iphone,
Mwenzako ana motorola
Unashindana na gigy
Kwenye mabendi kutunza hela
Vibaya hivyo
Mchepuko, mchepuko
Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe
Unamliza mke wangu
Usije kuchezea vikombe
Mchepuko, mchepuko
We mchepuko
Unamliza mke wangu
Anakujua, anakujua
Navyomjua mama watoto atakufanyizia siku moja
Anakujua, anakujua
Anakujua, anakujua
Navyomjua mama watotot atakufanyizia
Anakujua, anakujua
Navyomjua mama watotot atakufanyizia



Writer(s): Aslay Isihaka


Aslay - Mchepuko
Album Mchepuko
date of release
18-04-2020




Attention! Feel free to leave feedback.