Lyrics Nairobi - BURUKLYN BOYZ
Yo,
tano
nane
Kwani
ni
kesho?
Si
kesho
Tunatake
over
Nairobi
mzima
East,
West,
mpaka
CBD
(Uh-huh,
uh-huh)
Hii
ndio
mbogi
imeivisha
drill,
254
tunachafua
scene
Si
ndio
the
trend,
NTV,
kwa
hii
game
si
ndio
ma
MVP
Na
ka
kuna
msee
anabishana,
akam
hizi
sides
atry
kuresist
Tunatake
over
Nairobi
mzima
East,
West,
mpaka
CBD
(Uh-huh,
uh-huh)
Hii
ndio
mbogi
imeivisha
drill,
254
tunachafua
scene
Si
ndio
the
trend,
NTV,
kwa
hii
game
si
ndio
ma
MVP
Na
ka
kuna
msee
anabishana,
akam
hizi
sides
atry
kuresist
Kwa
wale
hawanirecognise,
uh,
mi
ni
big
boy
uno
Kwa
hizi
sides
bado
unakangwa
hata
ka
umeivisha
judo
Manambling
tunawaround,
ni
ka
tunacheza
Ludo
Mresh
wako
anaslide
DM,
ah,
sina
time
ya
makuro
Bro
wangu
alipurura
stock,
pia
mi
nikabaki
nimefinesse
plug
Hawa
mariza
wanaona
wanaeza
do
juu
wamepiga
marags
Itabaki
tutoke
kwa
ground,
tuache
kuitwa
malocal
thugs
Mahater
kwendeni
huko,
si
hufanya
kitu
juu
ya
mafans
(kwenda!)
Tuko
on
top
juu
ya
KICC,
maops
sere
mzima
tunawaping
Ki-PUBG
au
COD,
battle
royale
kwa
hizi
streets
We
ready
to
risk,
hatutajibali,
hatuna
pupa,
hatuhang
na
Fally
We
jua
hii
gang
ni
kali,
inapendwa
na
madem
wa
geti
kali
Tuko
strap
na
makoro
in
case
hawa
manambling
wajigas
wanadai
smoke
Tuko
strap
na
makoro
in
case
hawa
manambling
wajigas
wanadai
smoke
Maziwa
zetu
ziko
freshi
ndenu,
we
uko
na
ndegi
zenu
imbo
(kwendeni)
Utasurvive
aje
kwa
jungle,
man,
na
hautafuti
doh
(Yo,
yo)
Tunatake
over
Nairobi
mzima
East,
West,
mpaka
CBD
(Uh-huh,
uh-huh)
Hii
ndio
mbogi
imeivisha
drill,
254
tunachafua
scene
Si
ndio
the
trend,
NTV,
kwa
hii
game
si
ndio
ma
MVP
Na
ka
kuna
msee
anabishana
Akam
hizi
sides
atry
kuresist
(akam,
akam)
Tunatake
over
Nairobi
mzima
East,
West,
mpaka
CBD
(Uh-huh,
uh-huh)
Hii
ndio
mbogi
imeivisha
drill,
254
tunachafua
scene
Si
ndio
the
trend,
NTV,
kwa
hii
game
si
ndio
ma
MVP
Na
ka
kuna
msee
anabishana,
akam
hizi
sides
atry
kuresist
Magoon
wameivisha
drill,
254
si
manamba
uno
Unaeza
uliza
namba
uno
Mi
nadai
cash,
doh,
gwap,
hadi
maeuros
T
Bop
kiunknown
T,
man,
I
got
gyally
on
me
Kwa
kichwa
nina
maalphabet,
ABCD
Stay
tuned
kwa
hii
TV,
na
team
inashut
down
CBD
Na
marapper
wako
weak
kwa
streets,
hamkudungwa
BCG
Stay
tuned
kwa
hii
TV,
na
team
inashut
down
CBD
Na
marapper
wako
weak
kwa
streets,
hamkudungwa
BCG
Uh,
niko
jo
kwa
scene,
mikono
zinarushwa
right
and
left
Kwa
street
usibebwe
ufala,
go
hard
ka
chain
ya
BMX
Big
boys
tunaenda
viral,
breaking
news
kwa
CNN
Na
ukileta
ujinga
kwa
mbogi,
unapigwa
X
Mabro
this
life
is
crazy,
and
welcome
to
the
city
of
sex
Hawa
wasee
wamecarry
maknives,
skengs,
hmm,
for
defense
(bow)
Juu
gang
yu
hukuwanga
safi
usitutempt,
no
offense
Na
ukileta
ujinga
kwa
mbogi,
unapigwa
X
Attention! Feel free to leave feedback.