Bahati - Nakupa Moyo (feat. Akothee) Lyrics

Lyrics Nakupa Moyo (feat. Akothee) - Bahati



Ulikonitoa ni mbali
Kwenye panda shuka za maisha
Kwenye mvua na jua kali
Kivulini ukaniweka
Kwenye juhudi za kutafuta shillingi
Hukuninyimaa
Tena kwa taabu nikitafuta riziki
Ukaniinua baba
Nyingi mondo omii duong'
Yesu ruodha
An apaki pile
In e ohingana
E osimbona
An apaki pile ruodha
Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Chukua moyo yesu wangu
Aah nipigwe na mawimbi aaah
Umenilinda siamini
Lako sandere mangalee Zanderema yoo
Ogondo zandage mangeze Olaniwan
Umenifinyanga siamini
Yesu wangu
Umenibebanga ndio mimi
Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Chukua moyo yesu wangu
Nakupa Moyo Lyrics by Bahati




Bahati - Nakupa Moyo
Album Nakupa Moyo
date of release
11-04-2020



Attention! Feel free to leave feedback.