Barbara Kanam - Dada Lyrics

Lyrics Dada - Barbara Kanam



Dada
Una kumbuka vili sisi tuli komeya
Kule ku Katanga
Tulipata mafundisho Ya baba na mama eeh
Dada haaa
Usiliye duni yani ya mambo
Madjaribu,
Nitapita mateso iko na mwesha dada yangu ooo
Pole pole djo mwendo
Pole pole
Pole pole djo mwendo
Pole pole
Pole pole djo mwendo
Akuna matata
Pole pole djo mwendo
Safari njema
We ndembele
Tembeya na mungu tahona mwangaza
Ruho ya umodja,
Ya mapendo
Ya huruma njie ya baraka
Tu mayiri mungu yeee
Ata shinda yote
Djama yetu eee
Ni nieko sha ku liwa



Writer(s): Barbara Kanam


Barbara Kanam - Karibu
Album Karibu
date of release
01-10-2009




Attention! Feel free to leave feedback.