Lyrics Bado Kidogo - Ben Pol feat. Wyse
Walimwengu
wakubeza,
mmh
Na
wengine
wakucheka
Mwelekeo
umepoteza,
mmh
Hata
mbele
hauoni
tena
Nyumbani
njaa
kali
Kazini
tafrani
Benki
una
deni
Biashara
imefeli
Kuna
watu
hawajui
mangapi
yanayo
kukabili
Kabla
ya
jua
kuzama
Kuna
mambo
mengii
Yaliyofungwa
kwako
we
Yatafunguliwa
Aah
kabla
ya
jua
kuzama
Utaona
mengii
Yaliyofungwa
kwako
We
yatafunguliwa
Oooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Oooh
bado
kidogo(bado
kidogo)
Oooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Oooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Oooh
babo
kidogo
(bado
kidogo)
Uuuu
usife
moyo(bado
kidogo)
Ukifeli
usijione
haufai
Give
thanks
and
praise
to
the
most
high
naona
unavyofuta
machozi
wewe
Nashida
unazopata
ili
kusonga
mbele
hatua
ziko
chache
ilikufika
Kule
pambana
usiyumbishwe
na
zao
kelele
nakuona
una
pigania
haki
Simama
Utashinda
Kuna
watu
hawajui
Mangapi
yanayokukabili
Kabla
ya
jua
kuzama
Kuna
mambo
mengi
Yaliofungwa
Kwako
we
yatafunguliwa
Na
kabla
ya
jua
kuzama
Utaona
mengi
Yaliofungwa
kwako
wee
Yatafunguliwa
Oooh
bado
kidogo(bado
kidogo)
Oooh
bado
kidogo(bado
kidogo)
Uuuuh
usife
moyo
(bado
kidogo)
usione
kama
vile
jua
Lakuchoma
peke
yako
Usione
kama
vile
giza
Limetanda
tuu
kwako
Oooh
bado
kidogo(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Uuh
usife
moyo
(bado
kidogo)
Attention! Feel free to leave feedback.