Billnass - Huna Baya (feat. Meja Kunta) Lyrics

Lyrics Huna Baya (feat. Meja Kunta) - Billnass



Mmmh mmh mmh aaaah
Mama mama mama...
Shida na dhiki zote za kwangu Kama mziki kipaji changu
Sithaminiki na ndugu zangu Kwani rafiki jamaa zangu
Napenda pale unapomwaga radhi ila usijeleta paparazzi
Na huku kwetu mbona wako shy Utaumia mikono kwa kuvunja Nazi
Oooh chuchuma (huna baya) inuka
Oooh chuchuma (mambo baya) inuka
Oooh chuchuma (huna baya) inuka wataonaje dera?
Wamekuja na camera kumbe kimeo
Wamekuja na mamwera kisa chideo
Wamekuja na camera kumbe kimeo
Wamekuja na mamwera kisa chideo
Oooh chuchuma (huna baya) inuka
Oooh chuchuma (mambo baya) inuka
Oooh chuchuma (huna baya) inuka
Yaani Leo mi ndugu zangu wanangu
Masikini wananihadaa
Kwa jasho langu kidogo changu
Nachokipata sikukificha
Acha ulalame na moyo upendo furaha (sawa)
Mwenzako mi loyal ata ukiniona unapagawa
Unashindwa sema baby ooh ushakula madawa
Mwenzako mikono hata ukiniona unachachawa
Na nisikiapo baridi we sweta langu
Si tutoke twende kijiji kipenzi changu
Nivimbe mto Rufiji na baby wangu
Out twende kimbiji kwa bibi yangu
Napunguza masihara yatatawara yasijeleta mazara aah
Nami Niko imara Niko imara nikikwama nipe dawa aaah
Na sio kosa kunipenda ufanye sherehe
Ila nami nakuomba nifanye hai starehe
Tunguli manyanga nifunge nisirejee
Sio kama nashindwa penda unaogopa yasirejee
Na vipi niseme nataka mchumba wa kigogo masha love usimjue
Na sio kosa kusema nishachoka TV chogo na hata flat siinue iiih
Na vipi nishinde gym mkanda hadharani na hata chuma siinue iiih
Na Mimi sio kama sipendi sitamani anayenipenda simjue iiiih
Basi na yanga Mariro (Mariro)
Simba Mariro (mariro)
Basi manara Mariro (Mariro)
Nugez Mariro (Mariro) oooh aah
Uringe unanini wakati unaishi ukweni
Unajishaua nini na bado unalala sebuleni
Uringe una nini wakati unaishi ukweni
Unajishau nini na bado unalala sebuleni
Basi na yanga Mariro (Mariro)
Simba Mariro (Mariro)
Basi manara Mariro (Mariro)
Nugezi Mariro (Mariro)



Writer(s): Meja Kunta, William Nicholus Lymo


Billnass - Huna Baya
Album Huna Baya
date of release
21-04-2020



Attention! Feel free to leave feedback.