CHIDI BEENZ - Mashallah (feat. Mzee Yusuph) Lyrics

Lyrics Mashallah (feat. Mzee Yusuph) - CHIDI BEENZ

Ladies and gentleman
Yeaaah
Mika mwamba present chidi benzi
Chii chii chii chii chiiii
Aaahaa
Bongo flevaa bongo bongo
Bongo fleva aaah aah
Okay bongo fleeevaaa
Bongo bongo bongo flevaa
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa
Namna gani na nashindwa pata jiibuuu
Ukiwepo we ndo chanzo cha kunipoza nafsi yangu inapopatwa majaribuuu
Nakuamiiinii iih bila yamin we ndo dawa ya kunitibu
Naweza tamba nje kotee ila kwako sithubutu
Siwezi hata kujaribuuu
Kote niliacha ujinga sitaki
Usije ukaniacha nongwa sitaki
Kwani sitotakaa mi kwako haki
Bora kukupataa oo mamaa weee
Siwezi hata kujaribuuu
Kote niliacha ujinga sitaki
Usije ukaniacha nongwa sitaki
Kwani sitotakaa kwako haki
Bora kukupataa oo mamaa weee
Nipe raha za duniaaa
Niwe mtu kwenye watuu
Sitaki kukukoseaaa tena kwa vidudu mtuu
Penzi sitolichezeeaaa kwako nikakosa vituuu
We ndo wangu my deaar
Sikufananishi na mtuu
Maashaallah
Kwanza desturi na mila
Mzuri wa tabia akili timamu sio taahira
Mpole nikikosa hauna sura ya kuzira
Mapenzi yako moto unawashinda tatu bila bilaa bilaaaa
Umenishika siwezi ongea wengine wote wamepotea
Usiniache safarini taratibu nasogea
Dar moro songea rock city
Nachingwea nchi zote tutakwenda wawil kama pea
Nipe raha za duniaaa
Niwe mtu kwenye watuu
Sitaki kukukoseaaa tena kwa vidudu mtuu
Penzi sitolichezeeaaa kwako nikakosa vituuu
We ndo wangu my deaar
Sikufananishi na mtuu
Nipe raha za duniaaa (nipeee nipeeee nipeee)
Niwe mtu kwenye waatuuu (niwe mtu kwenye waaatuuuu)
Sitaki kukukooseaaaa (sitaaa sitaak sitaakiii nasemaaa)
Tena kwa viduuduu mtuu (tena kwenu kwa vidudu mtuu
Penzi sitolichezeaaa (penzo sito sitooolichezeaaa)
Kwako nikakosa vituuu (kwako nikakosaaa maambooo
We ndo wangu my deaar (wee ni wanguu mii)
Sikufananishi na mtuuu (aabadan abadan)
Labda ni macho mdo yanayonizuzuaa
Ndo mana wazushii wanapenda kuzuaaa
Labda ni figa inayonivutiaa
Ndo mana masela wanacha kufatiliaaaa
Labda ni macho mdo yanayonizuzuaa
Ndo mana wazushii wanapenda kuzuaaa
Labda ni figa inayonivutiaa
Ndo mana masela wanacha kufatiliaaaa
Ooh kufatiliaaa
Ooh rohoni wanaumiaaa
Ooh kukuchukuaaa
Nipe raha za duniaaa (nipeee nipeeee nipeee)
Niwe mtu kwenye waatuuu (niwe mtu kwenye waaatuuuu)
Sitaki kukukooseaaaa (sitaaa sitaak sitaakiii nasemaaa)
Tena kwa viduuduu mtuu (tena kwenu kwa vidudu mtuu
Penzi sitolichezeaaa (sitooolichezeaaa)
Kwako nikakosa vituuu (kwako nikakosaaa maambooo)
We ndo wangu my deaar (wee ni wanguu mii)
Sikufananishi na mtuuu (aabadan abadan)
Nipe raha za duniaaa (nipeee nipeeee nipeee)
Niwe mtu kwenye waatuuu (niwe mtu kwenye waaatuuuu)
Sitaki kukukooseaaaa (sitaaa sitaak sitaakiii nasemaaa)
Tena kwa viduuduu mtuu (tena kwenu kwa vidudu mtuu
Penzi sitolichezeaaa (sitooolichezeaaa)
Kwako nikakosa vituuu (kwako nikakosaaa maambooo)
We ndo wangu my deaar (wee ni wanguu mii)
Sikufananishi na mtuuu (aabadan abadan)
Maaashallah

Writer(s): Rashidi Abdallah Makwiro

CHIDI BEENZ - Mashallah
Album Mashallah
date of release
24-06-2011

Attention! Feel free to leave feedback.