Lyrics Mmenisoma - CHIDI BEENZ
Yah
Yeah
Chid
benz
La
familia
Bongo
records
Watanashati
mwendo
wa
suruali
na
shati,
Moka
chini
full
tai
watu
wamevunja
kabati,
Happy
day
tunapunguza
mawazo
Chanja
mkwanja
vuta
vumba
tuka
sabenze
milazo,
Leo
n
leo
kesho
haisemekani,
Vuta
mvinyo
poza
koo
ukamilishe
burudani,
Usiulize
wapi
sangapi
itakua
safi
Bro
vipi
utatimba
huku
umekoga
marashi,
Mabinti
wanono
waliojaa
urembo
usafi
Wanazingatia
cheki
smile
na
mienendo
Cheza
kwa
step
kama
uko
dance
floor
kisha
Itika
na
mimi
nkisema
chid
soo,
chid
soo...
Sio
kiivo
uchumi
hauturuhus
lakini
sio
vibaya
tukijiachia
hata
nusu
Namaanisha
tendo
sio
lazima
ila
basi
japo
akupige
ata
busu
Furahi
furahia
nyama
choma
na
bia
Oh
wanywao
soda
pata
sambusa
bagia
Wenye
fegi
mkononi
isikuteleze
na
wenye
dawa
mfukoni
nyonga
tumeze.
" JIACHIE
RUKA
MAJOKA
RUKA
STYLE
ZOTE
UNAZO
PENDA
UWANJA
WAKO
MUDA
WAKO
CHEZA
VILE
JINSI
UNAVYOWEZA
ILA
DUNIA
CHAFU
KUWA
MWANGALIFU
USIFUATE
MGUU
UNAPOKWENDA
RUKA
JUI
KWA
AKILI
NA
DHAMIRA
LASIVO
WOTE
TUTAENDA"
Siwezi
kujibana
nataka
nile
ujana
kwa
nia
njema
bila
kufanya
laana
Kinga
madhubuti
naepuka
vishawishi
Najua
nikiteleza
naangukia
mazishi
Nagonga
ikulu
najua
nakata
stimu
Ila
me
kama
kepteni
natoa
nasaha
kwa
timu
Twazidi
kufa
twazidi
pukutika
Basi
tuone
mbele
na
tupunguze
pirika
Ruka
utakavyo
jiachie
uwezavyo
ila
jali
uhai
mara
nyingi
uonavyo
Mkumbushe
mwenzio
kabla
hujapatana
nae
Kama
somo
halimuingii
mpotezee
achana
nae
Tukumbushane
kweny
mziki
kama
hivi
Hata
kwenye
majarida
michezo
elimu
Na
TV.
Tujing'amue
Na
tupunguze
tamaa
Muhimu
kua
Na
mmoja
upunguze
kusambaa.
" JIACHIE
RUKA
MAJOKA
RUKA
STYLE
ZOTE
UNAZO
PENDA
UWANJA
WAKO
MUDA
WAKO
CHEZA
VILE
JINSI
UNAVYOWEZA
ILA
DUNIA
CHAFU
KUWA
MWANGALIFU
USIFUATE
MGUU
UNAPOKWENDA
RUKA
JUI
KWA
AKILI
NA
DHAMIRA
LASIVO
WOTE
TUTAENDA"
Attention! Feel free to leave feedback.