Chege feat. Roma - Wiper Lyrics

Lyrics Wiper - RoMa , Chege




Here's another one
Touch!
Wipa, wipa, wipa
Wipa, wipa, wipa
Wipa, wipa, wipa
Wipa, wipa, wipa
Starehe kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Kwenye beat napita kama Babyloni
Niko chicha mita mia mbele misiyoni
Hizi sija za kila sitoka mageton
Nimesizi paka babe, kali sisi on
Kwani mkoa huu
Si tupo huku tunakula starehe?
Vua paka shati kwa mizuka
Kupanda tujonge kipare (Just like that)
Tukitimba kambali eh
Kambali eh, eh, eh
Tukiwaka kambali we
Chicha! Eh, eh, eh, eh, eh
Starehe kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Ukishafika umri wa balehe
Ndio wakati wa starehe
So macho kwenye kalenda
Tunacheki tarehe za mshahara
Tisha tuiandishe rela
Hafu kavuta sigara
So chuki kawaire
Wanalana kama hawa na wazazi
Hawa watoto na leo wamekutana na mvunja nazi
Kwa hofu
Ukidaka piss (kanyaga)
Sima piss (hatunaga)
Tisha tupande idirisha tuchagui pa kumwaga
Yaani
Aaah eh, kama wipa
Ni boma na baba jada
Yaani shah kama wipa
Madame nawazoom zoom nawalenga kama sniper
Kimwaga sumu tu wanajua mi ndo taita
Saa ona nishawaka waka
Na bado mapema nasaka saka
Sio ni bebe naona tuma sinema na takataka
Namua ena siku njema misha newa nyaka nyaka
Starehe kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Wipa, wipa, wipa
Hawajaniwasha naji washa kama lighter
Wipa, wipa
Kwa tofauti nidinga gari tena lakini taita
Story, come close to me
Story, blow kiss na me
Shorty, shika glass ya wine
Story, mwanikuku na maini
Starehe kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiya, ya, ya, ya, ya, ya, ya
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Aaah eh, kama wipa
Touch!



Writer(s): Saidi Juma Hassani



Attention! Feel free to leave feedback.