Chepkosgei - Itabidi Mkubali Lyrics

Lyrics Itabidi Mkubali - Chepkosgei



Yohh yohh
It's your girl Chep chep
Akoa Chep chep
Chepkosgei amekuja na habari
Nnajua mmetegea sana hizi mistari
Watu waniitanga mkale mkali
Na sitoki hapa, itabidi mkubali
Eeeyyy
Maze nmetoka mbali
Sa itabidi mkubali
Na hata si tafadhali
Itabidi mkubali
Told y'all that your girl C would be back home
Sooner than you might think sa kutesa ndio form
So I'm sorry if I don't, pick up your call
Got a place I gotta go, cause a b- got goals
Niko hapa kuwashow wale walinishuku
Sai wananicheki IG nkipiga luku
Ati eeh cheki venye amekuwa kasupu
Si mniambie kitu sijui nyi makasuku
Look
I see a bright future and a big fat feature
It might be Zuchu and a milli views on YouTube
Maze ni turn yetu, Okase ng'alechu?
Matomageki piikchuuk
Chepkosgei got you
Ameche onai ole maamat ap tiang'iat
Tugun chemache soroo kopunwo ko chang' nea
Koneekit kemi go si kekerenech sang' yo
Angen kiit neameche makoi okas aleen salyaa
Chepkosgei amekuja na habari
Nnajua mmetegea sana hizi mistari
Watu waniitanga m-kale mkali
Na sitoki hapa, itabidi mkubali
Eeeyyy
Maze nmetoka mbali
Sa itabidi mkubali
Na hata si tafadhi
Itabidi mkubali
Makoi aru amaalu
Aputi kotaang'walanu
Ngapaleechi kee nechu anyun
Amamite chi ne walu
Lakini kaakoit petuut
Makoi togero aletu
Oiye kararaan ng'alechu
Okertai ano pichu?
Multilingual and multi-talented
Ni first single but challenge accepted
Naitwa Chelsea but mafans si one-sided
They go from Juve to Manchester United
Chepkorgen straight out of Ziwa
Lemme give a shout out to a real one
It's none other than Chris Kirwa
Men he got me feeling kama nimefanikiwa
Ni time yangu ya kushine
Zingine achia baadae
Najua life ni kutry
Imma do it till I die
Ni ngumu kunidefine
Juu nacheza kidesign
Ata ikuchukua time
Izo deals tutasign
Chepkosgei amekuja na habari
Nnajua mmetegea sana hizi mistari
Watu waniitanga m-kale mkali
Na sitoki hapa, itabidi mkubali
Angen ale kaoyan
Nnajua mmekubali
I know that you feeling this
Jag vet att ni diggar detta



Writer(s): Chelsea Chepkosgei, Ernest Ogutu


Chepkosgei - Itabidi Mkubali - Single
Album Itabidi Mkubali - Single
date of release
14-09-2021




Attention! Feel free to leave feedback.