Chin Bees - My Baby Lyrics

Lyrics My Baby - Chin Bees

Ohuooo ohuooo(Wanene)
Ohooo (Chin Bees)
Eeeh niko radhi nichizikee niko radhi nichizike
Kwako nifike kwako nifikeee
We kwangu ni real we kwangu ni real spare
Siwezi kucheat oohuoou siwezi kucheat
Niko chini ya ulinzi niko chini ya ulinzi eeh
We nimaliziee we nimalizeeee
We kwangu ni real we kwangu ni real spare
Siwezi kucheat ooohuoou
My baby baby tunda langu baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
My baby baby tunda langu baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
Eeh dawa dawa mammy nipe dawa
Kwako mgonjwa mahututi please nipe dawa
Kwangu we ndio sawa unanipa power
Namuomba Mungu akulinde mpaka mwisho wambwae mwisho wambwae
Saresare kama kwaya
Tuwafanye ubaya wenye roho zao mbaya
Kama ubaya ubaya wacha wakuone mbaya
Lengo lao tuwe chini yao chini yao
My baby baby tunda langu baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
My baby baby tunda langu baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily...

Writer(s): Mussa Ramadhani

Chin Bees - Ladha
Album Ladha
date of release
18-03-2018

Attention! Feel free to leave feedback.