Chin Bees - Nitulize Lyrics

Lyrics Nitulize - Chin Bees



Oooh aaa
Oooo haa
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Jumba bovu lisiniangukie
Niangukieee
Niangukieee
Niangukiee
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Jumba bovu lisiniangukie
Niangukie
Niangukie
Niangukie
Mapenzi hadimu ka die na sumu
Tamu ka pineapple
Your my designer ooh
Your my designer ooh
Nakula nyama mbichi kipenda roho oo
Wacha wanione poyoyooo
Your my designer ooh
Your my designer ooh
Kikubwa ni upendoo
Ndio unanifanya nifrezee
Wakati ndani ya moyo
Na hiyo ndio only reason
Kama kweli nitulize
Wenye chuki wajiulize
Pipi yote imalize
Pipi yote imalize
Na wewe ndio baina yao
Wenye mapenzi amazing
Siwezi kuacha mbachao
Msala uache upitilize
Kama kweli nitulize
Wenye chuki wajiulize
Pipi yote imalize
Pipi yote imalize
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Jumba bovu lisiniangukie
Niangukieee
Niangukieee
Niangukiee
Mamie nitulize nitulie
Nitulieee
Nitulieee
Nitulie
Jumba bovu lisiniangukie
Niangukie
Niangukie
Niangukie



Writer(s): Mussa Ramadhani


Chin Bees - Ladha
Album Ladha
date of release
18-03-2018




Attention! Feel free to leave feedback.