Christian Bella - Si Ulisema Lyrics

Lyrics Si Ulisema - Christian Bella

Sitajuta kupendaa ingawa yaumiza moyoo
Ninaumizwa kukosaa na kupewa likizooo
Mimi sina makosa
Mapenzi ya hofu ni kawaida
Ni heri ukihisi jambo ulichunguze upate uhakika
Mimiii sina makosa mapenzi ya hofu ni kawaida
Ni heri ukihisi jambo ulichunguze upate uhakika
Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji
Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Wivu ninao mi binadamu nimekamilika
Ingawa muda sinao kila dakika naijutiaa
(?)
Sijui kwa nini tunakinzana
Akati najua tunapendana
Hatua zetu zinapishana
Kwenye safari yetu ya mapenzi
Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji
Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Lenye uhakika tulifate (Ye! ye)
Lisilouhakika tuliache (Ye! ye)
Si unajua nakupenda
Si unajua achana nao
Si unajua nakupenda
Juujuu achana naoo!
Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji
Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai kunyamaziwa
Hilo halifai kunyamaziwa
Hilo halifai kunyamaziwa
(Hilo haifai)! Haifaiiiii
Hilo halifai kunyamaziwa

Writer(s): Christian Bella

Christian Bella - Si Ulisema
Album Si Ulisema
date of release
01-05-2018

Attention! Feel free to leave feedback.