Conboi Cannabino - Level Up Lyrics

Lyrics Level Up - Conboi Cannabino



Time to Level Up
Pray! Mungu ana bless up
My tummy tatts got me feel pac my nigga
Na nnachotema ujue ni facts my nigga
I keep hood i don't fuck with alota niggas
Nishapitia so much pain wala sijawahi to complain
Let me explain jinsi ambavyo maisha yanakwenda
Ukiyaanza ka sensei no retreat no surrender
Tulipoianza walipenda na walitupa hadi advice
Na mengi about this life ila sio kama walitupenda right
Baada tuu ya mafanikio kidogo
Wanaanza kuwa wabaya wanatupakazia uongo
Wanafanya lolote ukose mchongo
Lakini hakuna kitu inashindikana juu ya udongo
We going harder akili pia iko smatter
Niggas watch how i move i ain't lose kama sean carter
I'm doing bigger i Got seven figure Kwenye plan
So sitaki kelele na hawa mambwiga
Alotta shits left me scars na sio mzaa
Nilikotoka ujue ni mtiti i need to protect my heart
Fuck you niggas tryna hate it's not okay
Fuck the facebook i need my space
Time to level Up
Every Day we sin Yeah, Mwisho wa siku we pray
Mungu Ana-bless Up
Pray to god before we sleepin', nifike siku nyingine
Time to level Up
Every Day we sin Yeah Mwisho wa siku we pray
Mungu Ana-bless Up
Pray to god before we sleeping nifike siku nyingine
Hii ni Mtu Be kama parklane
Huku bino huku big boy and we got bars kama kilo
I swear this shit is gonna sell (Yeah!)
Ukileta vindo ni vishindo kuna Vlone kwenye beat bro
I swear this is not fugazy (Yeah)
We tell the truth Ain't no fairytales
Ka' nikiwa mtaani vitani its not a place to play
Hakikisha umeaga nyumbani before you come out here
Niko kitaani mwanangu saa mbovu yuko pia
Na pia hatuna fear
Ka unajijua we ni hater unakanyagiwa
I keep my circle too small you don't belong here
Na wananiita mdanta because i was born here
And i been swimming with the Sharks
Nikiibuka ni hatari
Usijifanye unanijua kama hunijui kiundani
Nishapitia Maisha
Namjua shetani ni nani na snitch ni nani
Snitch sio Tekashi ni flani Am rolling exotic
Kama hujanijua kaa mbali
Na usidiss kidigitali my nigga
Tukutane mtaani I swear
Kama Mbwai ni mbwai
Ninaemhofia ni Mungu tu na wala sio kiumbe hai
Tumekutana Skani eti unauliza mkubwa ni nani
Alafu nishafanya vitu vikubwa ata mwenyewe hufanyi
Mwisho wa siku uje kuchapika mjuba
Epusha tu shali
Na hii fani kwetu ni kazi si' hatutaki utani
Tunachojua ni kukaza hatusubiri zali
U Dig
Time to level Up
Every Day we sin Yeah Mwisho wa siku we pray
Mungu Ana-bless Up Pray to god before we sleeping nifike siku nyingine
Time to level Up
Every Day we sin Yeah Mwisho wa siku we pray
Mungu Ana-bless Up Pray to god before we sleeping nifike siku nyingine



Writer(s): Rashid Said


Conboi Cannabino - Level Up
Album Level Up
date of release
26-02-2021




Attention! Feel free to leave feedback.