Darassa feat. Marioo - Chanda Chema Lyrics

Lyrics Chanda Chema - Darassa , Marioo



Terminal, watch do, for the lap
Watch do, for the lap
Give lap, give lap, for the lap
Give lap for the lap
Usijali unapakwa hina, unapaka poda
Fanya mambo yako nakungoja moyo umeshakata
Mi nafata Oda huwezi kukata Kiu mai kwa kisoda
Message sent, shika Kamata
Kama unataka mapenzi yako hapa mchaka
Chaka, chapa chapa, wakituona wanatapatapa
Wameweka kambi maeneo haya wanasema UA zuri limeota pabaya
Never die, never expire tusichezee mapenzi ya moto fi
Ahh aah kama mapenzi safari, mi kwako nishafika unapokwenda
Au kama bahari oh basi nifunze kuogelea
Na ungekuwa mchezo sio kamari au kubeba
Maji kwenye tenga, leo mbele yako nakula kiapo
Wallah mie sina mwingine tena, wakufanya nicheke
Na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete
Wallah mie sioni mwingine tena wakufanya nicheke
Hh,, na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete
Terminal, watch do for the lap, for the lap
Watch do, for the lap, for the lap
Give lap, give lap, for the lap
Give lap, for the lap
Ehh kwenye miba nachechemea for my woman
Bahari ntaogelea for my woman
I real man care for the woman nani anaeweza kukosea kama Yiuman
Nakufanyia change zitakupatia mapenzi, zitakutungia tenzi nikuimbie
Nikusifie, ujisikie uko na mie sogea nikuambie siwezi acha kiti chako
MTU akalie, siwezi vunja moyo wako sitaki Uumie
Yes I do, am tell the trues, my heart, my love, all I give to you
Ahh kama mapenzi safari
Mi kwako nishafika unapokwenda au
Kama bahari ohh basi nifunze kuogelea
Na ungekuwa mchezo sio kamali au kubeba
Maji kwenye tenga Leo mbele yako nakula kiapo
Wallah mie sina mwingine tena wakufanya nicheke
Na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete
Wallah mie sioni mwingine tena wakufanya
Nicheke na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete
Terminal, watch do, for the lap
Watch do, for the lap
Give lap, give lap, for the lap
Give lap, for the lap
Shika kamata, yapo hapa, chapa chapa, wakituona wanatapatapa
Mixing Killer
Never die, never expire, usiniletee mapenzi ya moto fire
Abaaaah



Writer(s): Darassa


Darassa feat. Marioo - Chanda Chema
Album Chanda Chema
date of release
08-01-2019



Attention! Feel free to leave feedback.