Lyrics Heya Haye - Mr Blue , Darassa
Everbody
waoh!
Nasema
mi
mwenye
nimetokea
gheto
Wanangu
wa
gheto
mnakuwa
je?
Ukonga
segerea
mpaka
keko
masela
wa
jela
mmelalaje?
Watu
tunafunga
mitaa
jiji
kimyaa
Waambie
nimesema
mtu
mzima
Vunja
madharau
jenga
heshima
Mbwa
ni
mbwa
hata
umpe
jina
Kazi
yangu
kuzima
moto
moto
Kuwa
wewe
kibatari.
Studio
gongo
la
mboto
kiwalani
nishatembea
jua
kali
(hustle)
Ukiongelea
msoto
kwenye
msoto
mi
nna
sifa
kama
za
Dully
Nilimuahidi
mama
nikiwa
mtoto
nikikuwa
ataishi
vizuri.
Siwezi
kuact
kama
staa
nakataa
(nakataa)
Siwezi
kufake
nikuonyeshe
nakufaa
(nakufa)
Siwezi
kushiba
kama
wanangu
wananjaa
Mister
I
don't
give
a
what
Kama
vile
nakichaa.
Heya
heya
heyaaa
nalilunch
maujiza
watu
hao
tola
maganza
tola
maganza
If
you
thank
God
for
the
life
tola
maganza
tola
maganza
Wa
2000
wa
kweli
tola
maganza
Oohh!
bora
nizunye
tola
maganza
Karibuni
wote
jimwageni
wote
Waliondani
naa
Na
walionje
wote
Haya
maji
kama
ya
mvua
yananyesha
kote
Mlipo
toka
Mnapajua
msibani
msibanane
sote
Kutoka
gheto
mpaka
nyumbani
Mambo
mbeto
mseto
wachawi
kunani
Na
mister
T-touch
chombo
kipo
angani
Nasukuma
husukani
waburudani
kwenye
fani
Hapa
shwari
hatuna
habari
na
majuu
Hakuna
worry
Darassa
na
mister
Bluee
Nakumbukumbu
anazo
mpiga
picha
Mliolewa
mtasema
yaliojificha
Niete
rap
music
king
wa
rap
teacher
Kwenye
maujuzi
tangu
juzi
nakuficha
Nipo
hapa
kama
rapa
wa
kisasa
Nipo
na
Darasa
niite
bapa
kwenye
anasa
heya
heya
heyaa!
(Nilikuambia
eeh)
Heya
heya
heyaa!
Attention! Feel free to leave feedback.