Darassa - Achia Njia Lyrics

Lyrics Achia Njia - Darassa



We unga unga mitambo mi niko hewani
Mambo yanaendaga na fani
Funga virago your job is done
Bahari ikichafuka inakuja tsunami
Usipoelewa somo watu wanakupiga
Eeeh. Unauliza majibu
Kupata heshima unachimba deep
Ila ukitaka dharau ni very cheap
Rudisha akili uliko azima
Huwezi kakutanisha milima
Tafuta kitu cha kujipima
Ukishindana na pombe unataka kuzima
Weka ushindani, fine me I don′t mind
Unauza sura mtaani people don't buy
And you know what?
Sema bye bye
Haukai disco limeingia masai
Achia njia.
Achia (achia) njia
Achia njia.
Achia (achia) njia
Achia njia.
Achia (achia) njia
Eeh.
Achia njia.
Achia (achia) njia
Unashangaa mataa
Biashara hailipi unakataa
Hapana bana, me I don′t like that
Usinijaribu kama nguo ya kuvaa
Na break it down
Hhaaa.
Macho juu macho chini chini
Vipi umepoteza Discipline
Unachekesha kama Mr. Bean
Acha kuchimba watu chimba madini
Huo uchizi umekuanza lini?
Au umefuata mambo ya mjini?
Heee.
Uliwaza nini?
Ukaacha viwanja ukaja kucheza relini
Eeeh.
Achia njia
Achia (achia) njia
Achia njia.
Achia (achia) njia
Achia njia.
Achia (achia) njia
Eeh.
Achia njia.
Achia (achia) njia
Achia njia.
Achi (achia) njia



Writer(s): Darassa


Darassa - Achia Njia
Album Achia Njia
date of release
10-12-2018




Attention! Feel free to leave feedback.