Lyrics Kizaizai - Diamond
Yanaanza
kama
safari
twende
folani
ukaone,
Kumbe
yana
nguvu
ni
hatari
ukishanasa
ndio
uponie.x2
Mungu
aliumba
dunia
na
Maajabu
yaake
Ya
mwenzako
sikia
omba
yasikupate,
eeih
.x2
{Chorous}
x2
Nyie
Mapenzi
yanauma
(Kizaizai)
Yanaumiza
(Kizaizai)
Oooh
kizunguzungu
jamaa
mapenzi
mabaya
Weza
gombana
na
Ndugu
(Kizaizai)
Rafiki
akawa
Mubaya
(Kizaizai)
Kazi
ukaona
chungu
(Kizaizai)
Nyie
Mapenzi
karaha
(Kizaizai)
Yananyima
furaha...
Yanakosesha
raha...
x2
Mmmmm
Tena
usiombe
kupenda
uliempenda
ajuee
Tena
usiombe
kupenda
uliempenda
ajue
Amani
utakosa
Karaha
jamani
eeeh.
Dunia
tena
chungu
kufa
utatamani
eeh.
Mungu
aliumba
dunia
na
Maajabu
yake
Ya
mwenzako
sikia
omba
yasikupate,
eeih
.x2
{Chorous}
Nyie
Mapenzi
yanauma
(Kizaizai)
Yanaumiza
(Kizaizai)
Oooh
kizunguzungu
jamaa
mapenzi
mabaya
Weza
gombana
na
Ndugu
(Kizaizai)
Rafiki
akawa
Mubaya
(Kizaizai)
Kazi
ukaona
chungu
(Kizaizai)
Nyie
Mapenzi
karaha
(Kizaiza
Baba
na
mama
watake
Chakula
tamu
ni
sumu
Mashoga
sasa
wanafiki
Kulala
nanyi
ni
ngumu
Eeh
yanauma
tena
yanauma
{Bridge}
So
Mkumbatie
akicheza
ucheze
nae
Akiringa
aeende...
x2
Mkumbatie
akikata
ukate
nae
Akiringa
aeende...
x2
![Diamond - Lala Salama](https://pic.Lyrhub.com/img/d/d/g/w/bw_h0cwgdd.jpg)
1 Lala Salama
2 Moyo Wangu
3 Chanda Chema
4 Nimpende Nani
5 Najua
6 Mawazo
7 Kwa Nini
8 Natamani
9 Gongolamboto
10 Kizaizai
Attention! Feel free to leave feedback.