Dobet Gnahoré - Samahani Lyrics

Lyrics Samahani - Dobet Gnahoré



Nisamehehe, kwa imani yangu mbaya
Nisamehe, kwa kuwa mbali ee
Hata hivyo nakupenda,
Na sina samaha ya kupenda
Yelele aa nifanye yelele
Yelele aaa nifanye yelele
Samahani kwa wakati ulipotea
Ulisubiri na ulitegemea
Nisamehe ujinga wangu
Nisamehe kutokua wako kimwili mbele yako
Nife nife yeiye oo
Nife nife aa oo aa oo
Nife nife leleleleo
Nife nife nife
Mbele ya hawa uwapendao
Samehe hasira zangu oo
Unaweza kunisahau
Lakini, lakini nisamehe
Nife nife...
Yelele yelele aa haa
(Chants)
Je veux dire samahani, pardon.



Writer(s): Dobet Gnahore


Dobet Gnahoré - Djekpa La You
Album Djekpa La You
date of release
06-03-2010




Attention! Feel free to leave feedback.