Dully Sykes - Hi Lyrics

Lyrics Hi - Dully Sykes



Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang'ata matamshi
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang'ata matamshi
Singida dodoma mma mma mma mma mma
Mtwara na kigoma mma mma mma mma mma
Aah Singida dodoma mma mma mma mma mma
Mtwara na kigoma mma mma mma mma mma
Pande za nyumbani
Wanajuaga bebe ni nani
Akipita anatingisha
Wangu toka zamani
Kanzu tobo kama zidan
Chenga nyingi ntafungisha
Kanawaka gizani
Nakapata mpaka mezani
Kote kote napigisha
Baby wata gwan
Katoto ketu kapo njiani
Uhakika miezi tisa
Ooh oh oh eeh
Wakiniita buzi nichune, Tena ringa kidogo
Ooh oh oh eeh
Wapiga miluzi wanune, Ongeza mbwebwe mikogo
Ooh oh oh eeh
Wakiniita buzi nichune, Tena ringa kidogo
Ooh oh oh eeh
Wapiga miluzi wanune, Ongeza mbwebwe mikogo
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang'ata matamshi
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang'ata matamshi
Singida dodoma mma mma mma mma mma
Mtwara na kigoma mma mma mma mma mma
Aah Singida dodoma mma mma mma mma mma
Mtwara na kigoma mma mma mma mma mma
Nyuka upendeze, vunja kabatii aya eeeh
Inuka na ucheze, wakuone wachat aya eeh
Nlalie kifuani baby deka
Usikie moyo wangu vile unavyo teta
Nikikupa mambo flani unaacheka
Kasauti kachumbani unaabweka
LALA KIFUANI BABY DEKA
USIKIE MOYO WANGU VILE UNAVYOTETA
NIKIKUPA MAMBO FLANI UNAACHEKA
KASAUTI KACHUMBANI UNAABWEKA
So let me say
Ooh oh oh eh
Wakiniita buzi nichune, Tena ringa kidogo
Ooh oh oh eeh
Wapiga miluzi wanune, Ongeza mbwebwe mikogo
Ooh oh oh eeh
Wakiniita buzi nichune, Tena ringa kidogo
Ooh oh oh eeh
Wapiga miluzi wanune
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang'ata matamshi
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang'ata matamshi
Singida dodoma mma mma mma mma mma
Mtwara na kigoma mma mma mma mma mma
Aah Singida dodoma mma mma mma mma mma
Mtwara na kigoma mma mma mma mma mma



Writer(s): Dully Sykes


Dully Sykes - Hi
Album Hi
date of release
10-08-2015

1 Hi




Attention! Feel free to leave feedback.