Lyrics Fresh (Remix) - Fid Q , Diamond Platnumz , Rayvanny
Nikipata
cash.
nakua
FRESH
kama
cucumber,
Nikiwa
na
dash
nakua
mjeshi
bila
full
ngwamba,
Kwenda
resi
sioni
kesi
Mr
Ku-banda,
Yakijiset.
sikwepeshi
naweka
juu
chanda.,
Sio
mtu
wa
kila
mtu
ila
ni
mtu
wa
watu,
Mtu
shantu,
kuntu
na
ni
mtu
mbavu,
Sio
mtu
kavu
huyu
mtu
anautu
na
love,
Lakini
Sio
mtu
wa
kila
mtu
na
sio
mpumbavu,
Ya,
Nilipo
sikia
beat
tu
nikatama
nifanye
verse,
Nikam-chek
ngosha
akanambia
simba
mbona
fresh,
Upesi
upesi
nikaandika
ni
murder
case,
Na
sasa
ngoma
kitaani
imenuka
kama
kinyesi,
I'm
start
young
kabla
sijaitwa
chibu
Denga,
Enzi
hizo
naitwa
Domo,
siku
hizi
eti
lipsi
denda(Fresh),
Baba
Tiffa
mwaniita
baba
Nillan,
Naskia
naitwa
baba
Abdul,
Kuna
mambo
mtaani!(Fresh),
Mzuka
ukipanda
wakata
viuno
kama
vanga,
Kwa
beat
ya
kubanda
inayobakwa
na
muuza
karanga,
Ukinichukia
sikosi
hela,
hivyo
kwangu
sio
case,
Kuni-compare
na
sinderera
haiwezi
kuwa
fresh,
Simba...,
Toka
mbuga
ya
Tandale,
Naona
swala
wana-force
tuwe
sare,
sare,
Viuno
vidogo
wanataka
pensi
ya
pepe
kale,
Si
walitaka
kiti
nimewapa
hadi
kitanda
wakalale,
Fresh,
Fresh,
Fresh,
Fresh,
Waambie
mjini
shule,
wasitamani
vyote
vimelipiwa,
Kama
ukipenda
vya
bure,
leta
sahani
utapakuliwa,
Kipofu
kuendesha
gari(Fresh),
Kwenda
kwa
miguu
zanzibar(Fresh),
Wabunge
kucheza
kamari(Fresh),
Masela
kula
ganja
na
askari(fresh),
Silverfox
kama
BARABUU
au
WANDIBA,
Ninaitwa
BOSS
na
nina-ball
kama
BABANGIDA,
FRESH
off
the
boat
niko
ZANZIBAR,
Ninai-smell
KARAFUU
nikiwa
na
CANDIBAR(CANDIBAR),
FRESH
kama
pipi
ya
mint.
pipi
ya
binti.
au
p-p
ile
P
P
ya
lift,
P
ya
please
au
FRESH
ya
PF3
ya
polisi?,
Iko
weird.
unaweza
ingia
na
wakazuia
release.,
Waambie
mjini
shule,
wasitamani
vyote
vimelipiwa,
Kama
ukipenda
vya
bure,
leta
sahani
utapakuliwa,
Bhakresa
kuokota
siso(Fresh),
Kula
chapati
kwa
kijiko(Fresh),
Rihana
kuimba
mdundiko(Fresh),
Uncle
Magu
kwenda
disco(fresh),
Wana
hela
ya
kuwapa,
kutoka
jasha
pasipo
na
mbio,
Au
hela
ya
hapahapa,
ya
kwamba
huwezi
panga
hata
deal,
Wajiweke
fresh,
fresh
kabla
ya
hii
fresh
haijawajuza,
Cash
cash
inafanya
boss
lady
asake
mabuzi,
Asitake
makuuzi
asilale
peke
yake
apate
utatuzi,
Tupo
fresh...,
Tumekua
sikuhizi
sio
watu
wa
maujiko,
Hatuna
case
ikiwa
manyunyu
ya
mvua
kwa
siafu
ni
mafuriko,
Hehehe...,
Fresh.
Fresh,
Fresh,
Fresh,
Fresh,
Yo,
Eti
ni
fresh
Kubanda
kubana
Pua
Au
kwenye
miiko
ya
Hip-Hop
atakua
amezingu,
Attention! Feel free to leave feedback.