Lyrics Bam Bam - Fid Q , Rich Mavoko , Isha Mashauzi
Unanipa
raha
usiache
nipa
raha,
leta
raha
Unamfikisha
hadi
Zanzibar
shamba
Umevimbisha
kichwa
cha
jimake
cha
nanga
Soma
picha
picha
wazi
umejipanga
Hupendi
feature
feature
mzazi
nimesanda
Hauniuzii
mbuzi
kwa
gunia
(nie)
Haunimei
juzi
umenizidai
(dia)
We
mamie
fundi
naujulia
(lia)
Hautumii
nikawa
na
gundi
unanipatia
Mmmh
hakika
umenifaa
Siwezi
pita
mie
nitakaa
Na
ukiniita
bebi
mimi
najaa
Siwezi
bisha
nitawa
kichaaa
Mimi
nimeona
wengi
Ila
me
kwako
nimefika
wewe
Mie
kwako
sijiwezi
Lako
penzi
dawa
yangu
beiby
Mimi
na
wewe
dam
dam,
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mambo
yetu
bam
bam
Mimi
na
wewe
dam
dam,
(mimi
na
wewe)
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mambo
yetu
bam
bam
Ni
kama
Rambo
na
Julieti
(na
Julieti),
mi
na
wee
Mficha
siri
zangu
nyeti
(zangu
nyeti),
wakunyumba
wee
Hodari
wa
mapenzi
(aaah)
jicho
nusu
mwezi
ukimuona
Si
kigundu
mtembezi,
kutoshinda
ndani
ameng'ona
Kidudu
mapenzi
kweli,
nani
ananinyevua
Aah
mapenzi
ya
kweli,
kwako
ndo
nimeyajua
eeh
Mimi
nimeona
wengi
Ila
me
kwako
nimefika
wewe
Me
kwako
sijiwezi
Lako
penzi
dawa
yangu
beiby
Mimi
na
wewe
dam
dam,
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mambo
yetu
bam
bam
Mimi
na
wewe
dam
dam,
(mimi
na
wewe)
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mambo
yetu
bam
bam
Ninachokupendea
huna
makeka,
huna
papara
(aaaah)
Unanipa
raha
usiache
nipa
raha,
leta
raha
(aaaah)
Ninachokupendea
huna
makeka,
huna
papara
(aaaah)
Unanipa
raha
usiache
nipa
raha,
leta
raha
(aaaah)
Unanipa
raha
kunakuzi
Hauna
njaa
tamaa
hauna
makuzi
Unanifahamu
mama
umekaa
ka
uchuji
Ungenikataa
ningekaza
uzi
Kabisa
kwako
nimefika
mambo
ni
bam
bam
Hakika
kila
ukiniita
mimi
nakam
kam
Naninapoitika
wazo
umeshika
hela
jam
jam
Na
kwa
sifa
nalipachisha
kwa
zam
zam
Isitoshe
hauniboi
haunichoshi
Vipi
nikose
kuenjoy
na
hapatoshi
Bosi
we
binti
vichungu
haunilishi
Na
sisi
si
wavumbua
jumbu
ila
ni
wapishi
Mimi
na
wewe
dam
dam,
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mambo
yetu
bam
bam
Mimi
na
wewe
dam
dam,
(mimi
na
wewe)
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mimi
na
wewe
dam
dam
Mambo
yetu
bam
bam
Unanipa
raha
usiache
nipa
raha,
leta
raha
Attention! Feel free to leave feedback.