Lyrics Ulimi Mbili - Fid Q , Maua Sama
Hawamaanishi
wanacho
sema
(lakini),
Huongea
ya
maana,
Madishi
ninayo
tema
yakipotea
ujue
unalaana,
Una
drama
ukikwama
lawama
bwana
akikukana
inauma
sana,
Unanichanganya
kutamaniana
ujana
na
maana
ya
kupendana,
(mapenzi)
Sio
mashindano
flani
na
flani
wakomo
ubishi,
Ni
makubaliano
ndani
ya
ki-moyo
honey
umridhishe,
Kuyaanza
ni
vigumu,
kutengana
ni
rahisi,
Kuyafanya
ya
dumu,
inapaswa
wakaanga
sumu
wote
wa-tight,
Unamuita
Queen
na
unapassion
ya
kumuona,
Simu
yake
ina
pin
na
ma-password
kila
kona,
Na
majina
kama
kadabra,
kumbe
ni
Ibra
yani
Roma,
Na
aliemsave
kama
baba,
Ndio
ulie
jiba
nae
kinoma,
Ukienda
kasi
utaona
life
iko
fast,
Kiasi
Kwamba
ata
your
first
lover
awezi
kuwa
your
last,
Unamuona
mrupo
kisa
ulimgonga
kwa
mshiko,
Anakuomba
madusko
anahonga
batonga
anagonga
vitu,
Unamuita
darling
au
wife
mama
mamito,
Unapata
habari
za
wanafiki
kuna
walafi
wanamla
hadi
jicho,
Unaemtaka
haumpati
utampata
wapi,
Anaekutaka
hautaki
haumpi
nafasi,
Akikuteka
ukijiweka
haukohoi,
Utakesha
tu
unacheka
ushatekwa
home
boy,
Weka
yeye
atoe,
asie
enzi
na
usimboe,
Wengi
wanayajua
mapenzi
lakini
wachache
wana
ya
enjoy,
Haaaaa...
Kichwani
unanichanganya
unanivuruga
mimi
everyday,
Haaaaa...
Najali
wangu
mwendo
wananizuga
kumbe
hawacarei,
Haaaaa...(Wouwo)
Kichwani
unanichanganya
unanivuruga
mimi
everyday,
Haaaaa...
Najali
wangu
mwendo
wananizuga
kumbe
hawacarei,
Hawa
maanishi
wanachosema,
Lakini
huongea
ya
maana,
Hawa
maanishi
wanachosema,
Lakini
huongea
ya
maana,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Mapenzi
ya
Kweli
ni
kama
jini,
Wachache
ndio
wameona
mwache
alie
kuona
unanini,
Sio
maujanja
kama
wanadada
vyuoni,
Wasomi
wa
mchana
wanaofanya
uchangudoa
Jioni,
Kisha
wana
act
kama
virgin
in
the
morning,
Ili
picha
uipate
ficha
flash
wasiione,
Wengi
hawa
graduate
na
A,
Wana
graduate
na
eight(8),
Wenye
graduate
utawajuaje
kwao
hawahitaji
comfess,
Ilimradi
wa-sex
na
washkaji
wasio
Chek,
Waki
test
blood
wanawapa
stress,
Uponaji
ni
hadi
aki-bless
god,
Ulemchekesho
unamliza
na
anajuta
Umemfilisi,
zaidi
ya
gear
riverse
imalizayo
mafuta,
Wazamani
siwezi
mwacha
na
mpya
nilie
mpata
huku
kwetu,
Mjanja
hawez
ingia
dukani
kununua
viatu
akiwa
peku,
Kila
msichana
anataka
bwana
mwenye
demu(ah),
Inaonekana
anasaka
bwana
mwenye
game,
Mnaachana
unachoma
picha
unachange
number
za
phone,
Inakuumiza
kichwa
mapenzi
yako
moyoni,
Muda
unapita
na
mwezi
hadi
ndotoni,
Unagundua
yule
mshenzi
hakupendi
lakini
haumkomi,
Akikuteka
ukijiweka
haukohoi,
Utakesha
tu
unacheka
ushatekwa
home
boy,
Weka
yeye
atoe,
asie
enzi
na
usimboe,
Wengi
wanayajua
mapenzi
lakini
wachache
wana
ya
enjoy,
Haaaaa...
Kichwani
unanichanganya
unanivuruga
mimi
everyday,
Haaaaa...
Najali
wangu
mwendo
wananizuga
kumbe
hawacarei,
Haaaaa...(Wouwo)
Kichwani
unanichanganya
unanivuruga
mimi
everyday,
Haaaaa...
Najali
wangu
mwendo
wananizuga
kumbe
hawacarei,
Hawa
maanishi
wanachosema,
Lakini
huongea
ya
maana,
Hawa
maanishi
wanachosema,
Lakini
huongea
ya
maana,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Wanaongea...
Wanaongea...
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili,
Ulimi
mbili.
Attention! Feel free to leave feedback.