Lyrics Sitolia - Gloria Muliro
Fahamu
anakupenda
sana
Nayo
salvation
yako
haitadunda
Ye
msela,
sina
hela,
Alikupenda
bila
hela
Amekuwa
akinihanda,
amekuwa
akinitesa
mimi
Sababu
mimi
(?),
na
sina
hela
Miye
fukara,
just
imagine
Bado
nafsi
yangu,
ni
kwako
wewe
Kuokoka
kwangu,
ni
kwako
wewe
Ni
kwako,
ni
kwako;
Ni
kwako,
ni
wewe
Oh
Sitolia
mimi,
Nafahamu
uko
na
mimi
jalali
Iye
sitolia
mimi,
Nafahamu
upo
na
mimi
maulana
Ni
kweli
usilie
mwenzio,
Maulana
yuko
na
wewe
akujali
Kiganjani
mwake
amekuweka,
hautabanduka
Ni
kweli
uko
mbali
na
mimi,
Uko
mbali
na
uga
wangu
Lakini
msela
mimi
huyu,
Sitolia
kamwe
Mwana
we,
mwana;
nakwambia
tulia
Mwana
we,
mwana;
si
vema
kulia
Mola
anakuangalia,
anakufikiria
Atakuangazia
Mateso
ni
ya
muda
tu,
mtihani
utaupita
tu
Hata
usiku
uwe
mrefu
ndugu,
kutapambazuka
Ni
heri
ni
mtazamie
yeye,
mtazamie
maulana
Ni
heri
ni
mkimbiliye
yeye,
mkimbilie
mola
Ni
heri
ni
nimtumainie
yeye,
mtumaini
mola
1 Sitolia
2 Tukuza
3 Neno
4 Nani Kama Wewe
5 Kazi Yako Haina Makosa
6 Nakuhitaji
7 Matsai Ka Yesu
8 Mambo Yote
9 Jehova
Attention! Feel free to leave feedback.