Gwaash feat. Jung Retro & Young - Sponyo Lyrics

Lyrics Sponyo - Young , Gwaash



Gwaash leta leta niseti koro
Na hii madem watakula tu sticker ma pizza
(Lemario)
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko na wife ana mimba na mtoi wa miaka saba
Tic Tac's sponyo ana doh ya makahaba
Waiter niko maji kuuza anauza ya haba
Kisha ukipanda utashuka hiyo saba
Leta hiyo ukus masaa ya saa saba (saa saba)
Nitazama hapa bila rubber
Rungu nawapa hata sina rubber
Kajaba kaa shada si unajua niko handas
Kila msupa anadai ni masponyo sponyo
Nina mbaya joh na hawa wararo wararo
Cheki huyo dem ana nyonyo nyonyo
Juzi nilimcheki tu na Collo
Haya najua atapenda hii lolo
Anaringa kaa hauna ganji hauwezi chapa ilale
Boychild cha muhimu ni uhai
Kusumbuana joh na slayqueen haifai
Anadai mii ni fuckboy
Tisho nimepiga washer loya
Kwani iko nini?
Unataka nikusuke kama Drake
Kwani wewe ndio Kiki?
Sare za ovyo, tutasumbuana hadi lini?
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka anadai tu sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Sura nzuri wanadai niwadare kwa kitanda
Nikikuja kwa kitanda wanajua Gwaash ni odinare
Jump it up jump it down kama wee ni kahaba
Kahaba, kahawa niko kwenye mkahawa
Na thank God niliwacha kupiga watu moka
Cha muhimu ni uhai, life ya mboka haifai
Pigwa tisa ikifaii, we ni mbleina inafai
Nimenyanya niko hai, jicho nyanya inadai
Ukiona mbaru unarise, swara nyinyi haifai
Piga kuni ujinice, usilambe lolo akidai
Yangu imedie acha kalimbe ajinice
Stori ya mate leo sidai niko jaba inafai
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo




Gwaash feat. Jung Retro & Young - Sponyo
Album Sponyo
date of release
05-06-2019

1 Sponyo



Attention! Feel free to leave feedback.