H_art the Band feat. Bensoul - Masheesha Lyrics

Lyrics Masheesha - Bensoul , H_art the Band



Msupa wangu anataka masheesha, na kwa mfuko pesa zangu zimeisha.
Na yule waiter ananitisha, ati mabouncer atawaita.
Na huyu dem bado anaitisha, na mi nashindwa sasa venye nitazusha
Tulipatana juzi kwenye insta-grrram na mi staki choma picha.
Itakua ngori skiza stori, wacha kucheka hii ni ngori.
Nilimwacha bila sorry,
Na ukicheza utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye
Demu wa Msheesha
Utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye
Demu wa Msheesha
Utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye
Demu wa Msheesha
Kwenye profile mimi ni lawyer,kizungu tamu kama ile ya Lumumba
Lakini ukweli mimi ni Hawker,
Nina thao mbili manze leo kulidhoka, makanjo.
Walinishka hata
Ni bahati stenje bado sijafika, na huyu dem zake bado hazijashika.
Mzinga tatu sasa zimekatika.
Itakua ngori skiza stori, wacha kucheka hii ni ngori.
Nilimwacha bila sorry,
Na ukicheza utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye
Demu wa Msheesha
Utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye
Demu wa Msheesha
Utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye
Demu wa Msheesha
Sasa nawaza vile nitaenda choo
Nitoroke huko nyuma backdoor
Akinisaka asinipate ng'oo
Akiuliza aambiwe nimegoo
Lakini vile mi naenda kuchomoka
Yule waiter akaniona, hiyo bill
Akaidroo na kwa mfuko mimi sina hata bob
Itakua ngori skiza stori, wacha kucheka hii ni ngori.
Nilimwacha bila sorry,
Na ukicheza utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye wewe
Demu wa Msheesha
Utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye wewe
Demu wa Msheesha
Utapatana naye
Patana na ye
Patana na ye ye ye ye wewe
Demu wa Msheesha
Uta patana patana patana patana patana na yeye wewe
Demu wa masheesha
Utapatana na ye patana na ye, patana na yeee yeee ooh
Demu wa masheesha
Patana na ye, patana na ye patana na ye yeea
Demu wa masheesha
Utapatana na ye,patana na ye patana na yeye yeyeye
Demu wa masheesha
Utapatana na ye patana na yeye
Patana na yeyeea
Demu wa masheesha



Writer(s): Benson Mutua, Kenneth Muya, Mordecai"dex"mwini, Wachira Gatama


H_art the Band feat. Bensoul - Masheesha
Album Masheesha
date of release
25-11-2017



Attention! Feel free to leave feedback.