Lyrics Linda Moyo - Nyota Ndogo , H_art the Band
Nasikia
wanitafuta
Kama
wanipenda
nakuomba
njoo
kwetu
Na
ile
njia
ninayopita
Wanifatafata
nakuomba
njoo
kwetu
Mzee
Ali
alinikataza
kuhusu
wewe
Na
dadangu
Aisha
alinikanya
kuhusu
wewe
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Nimeambiwa
Umesikia
sifa
zangu
mbaya
Kuwa
mimi
kinara
Kwenye
karata
ya
wanadada
Ukweli
usemwe
mama
Uzuri
wako
umezidi
wale
wote
nimeona
Na
usifunge
moyo
sana
Kwani
wewe
mwenyewe
ndio
sababu
kuu
mimi
kupona
Nataka
kukujulisha
Wewe
ndio
utanibadilisha
Tabia
zangu
nitasafisha
Mipango
yote
tuweze
kamilisha
Mahari
mi
nitalipa
Kunyunyuzie
penzi
bila
kupima
Naomba
Nyota
yangu
ufanye
hima
Usikazie
moyo
wako
kupenda
(penda)
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Ati
Love
ni
drug
na
I
think
umenipatia
overdose
It′s
too
much
Mi
staki
kufall
in
love
but
nimeumwa
na
love
bug
I'm
this
close
Late
night
chats
kila
usiku
Nikikulenga
asubuhi
napata
message
ndefu
Messenge
ndefu
ati
kwani
what
did
I
do?
Am
I
being
too
much?
Ama
I′m
just
overthinking
niwache
tu?
Yaani
love
ni
drug
na
we
tu
ndio
foam
kama
top
layer
ya
keg
kwa
jug
Love
ni
drag
kutoka
hapa
mpaka
pale
Kwa
yule
mwenye
urembo
imeenda
shule
Kama
ni
mahari
nitalipa
mi
sipendangi
vitu
za
bure
Magari
nje
ya
nyumba
na
ma
chauffeur
ukidai
kwenda
hapa
kule
Haba
na
haba
aki
ya
nani
si
umejaza
mama
Nipe
mahaba
nikule
I'm
drunk
in
love
mi
siwezibleki
bure
It's
too
much
Nataka
kupitia
kwenyu
nikwambie
Lakini
baba
yako
Chief
na
hanipendi
Amesema
mimi
mtaani
King
wa
mischief
Mama
yako
hatunanga
beef
lakini
juzi
bahati
mbaya
Alinipata
nikitoa
kamasi
bila
handkerchief
akanikashifu
I′m
figuring
Wacha
nikuweke
ring
kwa
finger
Na
mafisi
before
hawajafika
Pastor
ameshaawika
(Hi
There
supuu)
"You
may
now
kiss
the
bride..."
kwa
altar
Mambo
ni
mdogo
mdogo
ndogo
Haina
haja
kuipeleka
faster
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Nalinda
Heshima
yangu,
Utu
wangu
Moyo
wangu
usiumie
Attention! Feel free to leave feedback.