Lyrics Ukimwona - H_art the Band
Kusema
kweli
bado
nakuhata
And
on
the
daily
bado
nakufuata
Kosa
sio
hoja
zaidi
ya
kukupenda
Vipi
nikatupa
ndoto
tulizoziota
BRIDGE:hoooo
uliniwasha
nare
Enzi
zetu
za
kuparre
kwa
mvinyo
na
makali
magizani
hadi
ngware
Nikijifanya
daktari
wa
mabinti
wale
Wenye
shepu
za
hatari
nikapotelea
ndani...
Ilaaa
mwambie
nampenda...
Roho
yamtamani,
bado
nampenda
ukimwoona...
Mwambie
nampenda
roho
ya
mtamani
bado
nampenda
ukimwona...
(Ukimwoona...)
Tabasamu
la
kishua
Roho
sawa
na
maua
I
cant
help
I
miss
you
every
morning
vile
unapendeza
Kama
ningeweza
jua
yepi
ya
kutarajia
Nisingejipata
mashakani
kwa
niliyoyatenda
Ninayempenda
ni
wewe
hakuna
mwengine
wakubadili
penzi
Ningependa
tuelewane
Kiburi
kisinikosanishe
nawe
BRIDGE:hooo
uliniwasha
paree
na
sikushika
nare
ukanisema
kwa
jirani
Kwamba
mimi
ni
kisarani
aibu
za
hadharani
vile
penzi
hatari
Njoo
unipe
amani
kama
hapo
zamani
Mwambie
nampenda...
Roho
yamtamani,
bado
nampenda
ukimwoona...
Mwambie
nampenda
roho
yamtamani
bado
nampenda
ukimwona...
Ukimwoonaa...
Mwambie
nampenda
roho
yamtamani
bado
nampenda
ukimwona...
Mwambie
nampenda
roho
yamtamani
bado
nampenda
ukimwona...
(Mwambieeee)
Mwambie
nampenda
roho
yamtamani
bado
nampenda
ukimwona...
(Mwambieeee)
Mwambie
nampenda
roho
ya
mtaani
bado
nampenda
ukimwona...
1 Mystical
2 Linda Moyo
3 P.D.A
4 Usiseme No
5 Number Wan
6 Lover Lover
7 Ukimwona
8 Bad Manners
9 Issa Vibe
10 Papaya Family
11 For You - Remix
12 Golden Chances
13 El Shaddai
Attention! Feel free to leave feedback.