Harmonize - Niambie Lyrics

Lyrics Niambie - Harmonize



Wasafi
Mmmh mmmh
Wasafi record′s
Mmmh
Mujini Kipenzi
Silani shilingi baby
Kupendana zamani
Ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi
Ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani
Basi wanakumwaga
Ndo maana ah
Ukichelewa dukani
Mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani
Akakuonga kilo ya unga aah
Oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi
Nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi
Yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
Niambie
Tell me baby love
Ooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo
Niambie
Ooh Basi niambie(Ooh Basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza Roho
Hhhhm (aiy)
Sikuhizi magari ya wakongo
Mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo
Nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea Ndumba
Umenipendea rhumba
Vipi nikija kudunda
Ooooh oooh
Usije mgezea Punda
Ukaniachia Ngunga
Wanakumendea Chunga
Ooooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi
Nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi
Yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi ni kipi kinafanya Unipende
Niambie (Tell me)
Tell me baby love (Tell me)
Ooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo (Tell me)
Niambie
Ooh Basi niambie
(Tell me Ooh Basi niambie)
Tell me baby love
Usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea!!!!
Kipi mama (umenipendea)
Basi sema (umenipendea)
Umenipendea nini ingali sina Doo
Unenipendea aaah
Tell me baby love (umenipendea)
Ooh basi nambie (umenipendea)
Vipi unanipenda (umenipendea)
Ingali sina doo ooh (Unenipendea)
Iiih iih
Eyo lizer
Hahaha mwendo kasi




Harmonize - Niambie
Album Niambie
date of release
15-11-2017




Attention! Feel free to leave feedback.