Harmonize - Amelowa Lyrics

Lyrics Amelowa - Harmonize



Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
Binti wa makamo come closer na give me some more
Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia
Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigiza
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba
Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
Liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Kwenye papara pupa nawona washamba
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa




Harmonize - Amelowa - Single
Album Amelowa - Single
date of release
12-09-2022




Attention! Feel free to leave feedback.