Lyrics You - Harmonize
Bboy
on
the
beat
Mmmmmh
Mmmmmh
yeah
Mikono
juu
na
surrender
Acha
dunia
ijue
muuni
amenpenda
Wangapi
walikuja
wakaenda
Mbona
ni
wewe
Mwenzako
nahesabu
calendar
Siku
na
masaa
yanakwenda
Hebu
fanyaurudi
nakupenda
Basi
nielewe
eeeh
Kitaniumbua
kifo
kifo
Nikiyaficha
maradhi
Sikujua
before
before
Kumpata
unaempenda
ndio
kazi
Nimejaribu
haka
kawimbo
kukuimbia
Pengine
labda
ukakasikia
Ishara
tosha
kuwa
najutia
Fanya
unisamehe
ni
mambo
ya
ujana
Moyo
unakufa
ganzi
nikifikiria
Mazito
tuliyo
yapitia
Yaliyo
kufanya
utaki
ata
nisikia
Bado
nahisi
ni
kama
jana
Hakuna
aliye
kamilika
(kamilika)
Hata
unae
mbhani
malaika
(malaika)
Bado
anaweza
kuwa
shetani
Naukasema
bora
mimi
(bora
mimi)
Ndoto
yangu
bado
haijafutika
Naamini
siku
itafika
Tumwite
sheikh
na
ubani
Au
tufunge
ndoa
kanisani
Oooh
beibey
I
miss
you
I
miss
you
I
miss
you
I
miss
you
Kweli
mapenzi
hayaa
ujanja
Hayajaligi
jina
mkwanja
Yani
nimepita
kila
kiwanja
Ila
nimesasa
kwa
mtoto
wa
masanja
Wewe
ni
mtu
wa
mungu
tena
mlokole
Yanini
app
ya
mange
Wapiga
majungu
wakina
lokole
Wanao
pakaza
me
nakula
bange
Naanguka
makosa
Tena
nipo
radhi
kutoa
posa
Basi
fanya
urudi
malikia
Tuje
kuanza
tulipo
ishia
eeh
eeh
Waambie
mashoga
zako
si
kwa
ubaya
Ila
me
sipendagi
kuongea
Unamsemaje
mwenzako
bangi
mbaya
Kama
hujawahi
hata
mgongea
Hakuna
aliye
kamilika
(kamilika)
Hata
unae
mdhani
malaika
(bora
mimi)
Bado
anaweza
kuwa
shetani
Na
ukasema
bora
mimi
(naukasema
bora
mimi)
Ndoto
yangu
bado
haijafutika
Naamini
siku
itafika
Tumwite
sheikh
na
ubani
Au
tufunge
ndoa
kanisani
Oooh
beibey
I
miss
you
I
miss
you
I
miss
you
I
miss
you
Of
course
bboy
on
the
beat
Konde
boy
call
me
number
one
Bakhresa
It's
what
it
is
baby
I
want
you
to
come
back
It's
what
it
is
baby
I
want
you
to
come
back
Come
back
my
baby
Attention! Feel free to leave feedback.