Lyrics Niambie - Harmonize
Rajiiiii...
Wasafi
Mmh
mmh
(Wasafi
records)
Mmh
Mujini
kipenzi
Silaha
ni
shilingi
baby
Kupendana
zamani
Ndo
wanavyosemaga
Wazuri
ni
wengi
Ila
uongo
mwingi
baby
Wakishaviona
vya
ndani
Basi
wanakumwaga
Ndo
maana
ukichelewa
dukani
Mie
ka
moyo
kananidundaga
Nawaza
asije
mangi
jirani
Akakuhonga
kilo
ya
unga
aaah
Oooh
ooh
Mbaya
zaidi
sina
kazi
Nakosa
sent
tano
kipande
Bora
nikuweke
wazi
Yanini
nikufuche
gambe
Tumeumbiwa
shida
maradhi
Ndo
chanzo
mpaka
wengi
wadange
Niweke
wazi
ni
kipi
kimefanya
unipende
Nambieeee
Tell
me
baby
lol
Oooh
basi
nambie
Vipi
unajipenda
ingali
sina
Nambieeee
Ooh
basi
nambie
(ooh
basi
nambie)
Tell
me
baby
lol
Usijenitenda
ukaniumiza
roho
ooh
Siku
hizi
magari
ya
wakongo
Mapesa
mara
nyumba
mbezi
Usinichanganye
na
ubongo
Nidate
kisa
mapenzi
Nsijekuwekea
ndumba
Umenipendea
rumba
Vipi
nikija
kudunda
ooh
ooh
Usije
mgezea
punda
Ukaniachia
ngunga
Wanakumendea
chunga
Ooh
ooh
ooh
Mbaya
zaidi
sina
kazi
Nakosa
senti
tano
kipande
Bora
nikuweke
wazi
Yanini
nikufiche
gambe
Tumeumbiwa
shida
maradhi
Ndo
chanzo
mpaka
wengi
wadange
Niweke
wazi
ni
kipi
kinafanya
unipende
Tell
me
baby
lol
(tell
mee)
Ooh
basi
nambie
Vipi
unanipenda
ingali
sina
dooh
Ooh
nambie
(tell
meee)
Ooh
basi
nambie
(tell
meee)
Tell
me
baby
ooh
Usijenitenda
ukaniumiza
roho
ooh
ooh
(Umenipendea
aah)
kipi
mama
(Umenipendea
aah)
basi
sema
(Umenipendea
aah)
umenipendea
nini
Ingali
sina
dooh
(Umenipendea
aah)
Tell
me
baby
lol
(Umenipendea
aah)
Ooh
basi
niambie
(Umenipendea
aah)
Vipi
unanipenda
ingali
sina
hiii
hii
hiii
Heheheee
mwendokasi!

1 Kwa Ngwaru
2 Bwege
3 Niteke
4 Atarudi
5 Bado
6 Magufuli
7 Matatizo
8 Never Give Up
9 Mbali
10 Niambie
11 Show me
12 Shulala
13 Paranawe
14 Show Me What You Got
15 Aiyola
16 Nionyeshe
17 Sasambu
18 Sina
19 Nishachoka
20 Ndoenda
21 Acha Nilewe
22 Kidonda Changu
23 Dm Chick
24 Bed Room (Remix)
25 Penzi
26 Don't Go
27 Happy Birthday
28 Hainistui
29 Kushoto Kulia
30 Uno
31 Beyond Boredom (Day)
32 Inuka Ucheze
33 Roho
34 Ahadi
35 Balaa Jipya
36 Hujanikomoa
37 Imani
38 Kiuno
39 Nishapona
40 Pain
41 Tasafu
42 Bachelor
43 Nadeke
44 Bed Room
45 Nakadandia
46 Pepea
47 Komando
48 Body
49 Gelegele
50 Manoti
51 Ndoto
52 Mama
53 Mpaka Kesho
54 Malaika
55 Zabwa
56 I Miss You
57 Good
58 Fall in Love
59 Rumba
60 Wife
61 Die
62 Pipe Industries
Attention! Feel free to leave feedback.