Lyrics Nani - Ibraah
Mmmh
yeah
Mmmh
Yeah,
(Moko)
Asubuhi
kumekucha
Wingu
limetanda
Na
mvua
yata
kunyesha
Na
uko
mbali
Mama
Maji
takitirika
Ooh
baridi
itanishika
We
ndo
chanda
chema
Uhakika
unanitatisha
tamaa
Utaambiwa
binadamu
Ah
kila
mmoja
ana
mapungufu
yake
Sijui
nilipoteleza
Mama
Si
ungenambia
Nime
miss
tabasamu
Kutwa
kucha
Picha
kumezea
mate
Yangu
fimbo
umeibezea
Ah
katu
hautaki
kuitumia
Labda
hesabu
za
kutoa
Mi
niligawanya
baby
unisamehe
Na
ile
hasi
nikaifanya
chanya
Baby
unisamehe
Na
hata
emoji
za
kulia
Nazo
kutumia
nazo
zikome
Japo
nipate
furaha
Ah
huruma
unionee
Maana
hii
hali,
hata
haifichiki
Kutwa
wima
kwa
mpingo,
kisiki
Maana
hata
nikiona
michezo
ya
njiwa
Ah
hua
naitamani
Kama
si
wewe
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani
Nani
nitampenda
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani
Nani
nitampenda,
aah
(Uuh)
Eeh
penzi
usifanye
kwa
chombo
cha
usafiri
Ikawa
umeshuka
uje
utanikatili
Nitakuwaga
mental,
niko
dhahari
Si
unasikia
Penzi
la
dhati
daima
la
wawili
We
fanya
urudi
lisiwe
batili
Ka
wafanya
kusudi
ni
ukatili
Mi
naumia
We
ndo
yangu
hifadhi
Labda
nilikosea
msimbo
Kweli
kupenda
kazi
Wangu
umegeuka
fimbo
o
Mi
ndo
lako
koroboi
Lile
lisilozima
Aah
si
ulisemaga
hauchomoi
Kumbe
imani
unanipima
aah
Pia
ulisema
haudonoi
Wameiteka
mazima
Ahaa
simun'gunyi,
sikohoi
Sina
vyangu
nimechina
Maana
hii
hali
hata
haifichiki
Kutwa
wima
cha
mpingo,
kisiki
Maana
hata
nikiona
michezo
ya
njiwa
Ah
hua
naitamani
Kama
si
wewe
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani
Nani
nitampenda
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani?
Nitampenda
nani
Nani
nitampenda,
aah
Attention! Feel free to leave feedback.