Lyrics Nimekubali - Ibraah
Kapipo
on
the
beat,
hey
eeeh
Ooh
nanana,
ooh
mamama
Maulana
mmmh
(Kapipo)
Kapu
limeshajaa
Mapitilizo
maudhi
yamezidi
Moyo
wangu
uko
mbali
nawe
Soko
la
karafuu
umeuza
dagaa
Na
ule
utamu
umeugawia
kijiji
Umenipa
donda
la
roho
Isipagawe
Mungu
amenipa
ufahamu
Natambua
lipi
chema
na
baya
Usizuge
kwa
tabasamu
Kumbe
huna
lako
moyoni
Na
nishazoea
mila
Kikwetu
kusema
sema
ni
roho
mbaya
Ningalikuwa
na
uwezo
Mwanzo
ningekuficha
mfukoni
Ulinidanganya
kumbi
kumbi
Nilale
bila
chandarua
Kumbe
mbu
nang′ata
Si
ulinikung'uta
mavumbi
Nilipo
omba
nyingi
dua
Ukaniondolea
mashaka
Mapenzi
hayalazimishwi
Haukuridhiana
na
mimi
nenda
Ila
nakuombea
Ukaishi
maisha
mema
Pia
siwezi
na
silazimishi
Labda
sina
dhamani,
huenda
Kuondoka
kwako
kwangu
Mungu
akaleta
mema
Nimekubali
mimi,
japo
ni
maumivu
ila
Nimekubali
mimi,
japo
hutoki
kwa
akili
yangu
unaizunguka
Nimekubali
mimi,
nimekubaliana
na
wewe
eeh
Nimekubali
mimi,
nimekubaliana
na
weee
Japo
ni
ngumu
ka
imenikwama
miiba
Maana
kwa
ndani
ndani
bado
inanichoma
Na
maumivu
huwezi
yasikia
Nayasikia
mwenyewe
tu
Na
hali
ya
upweke
sio
kawaida
Najua
dhahiri
kuwa
na
kinyima
amani
Stress
ingekuwa
kilevi
Ndio
kulala
na
viatu
Jua
mwana
ukiyataka
ndo
mwana
kuyapata
Mungu
hamnyimi
mja
wake
Usinung′unike
kwa
utakacho
kipata
Maana
ndo
unachotafuta
Umekuwa
gari
la
taka,
haunaga
tabaka
Umekosa
hadhi
ya
mwanamke
Tulia
yakufuate
magari
bovu
Ndo
kutwa
ukafuata
fuata
wee
Mapenzi
hayalazimishwi
Haukuridhiana
na
mimi
nenda
Ila
nakuombea
Ukaishi
maisha
mema
Pia
siwezi
na
silazimishi
Labda
sina
dhamani,
huenda
Kuondoka
kwako
kwangu
Mungu
akaleta
mema
Nimekubali
mimi,
japo
ni
maumivu
ila
Nimekubali
mimi,
japo
hutoki
kwa
akili
yangu
unaizunguka
Nimekubali
mimi,
nimekubaliana
na
wewe
eeh
Nimekubali
mimi,
nimekubaliana
na
weee
Ibraah,
Konde
music
worldwide
(And
the
good
music
has
been
done
by
Kapipo)

Attention! Feel free to leave feedback.