Lyrics Sawa - Ibraah
It's
Bonga
(Oh
nah
nah
nah
nah
nah
aah)
Asante
Mungu
Baba
uliye
mwema
Nimeiona
siku
nyingine
ya
furaha
Hali
sio
haba
sio
njema
Wa
kuniponya
nipate
hata
chembe
ya
furaha
Maana
wazazi
wananitegemea
Na
ninakaribia
mi
kuitwa
Baba
Nami
ndunguzo
waloegemea
Sina
kitu
nimechalala
nimevava
Uniepushe
mabaya
dunia
Yasijenikumba
Napiga
goti
kwa
uchungu
nalia
Ni
nusuru
muumba
Katu
nisikate
tamaa
Niende
kusaka
tonge
Nipate
ama
nishinde
njaa
Moyoni
upige
konde,
ni
sawa
eh!
Ni
sawa,
ni
sawa
Nami
nitafika
(Ata
nikikosa
sawa)
Ni
sawa,
ni
sawa
Nami
mimi
utanipa
(Ah
ridhiki
we
ndo
unayegawa)
Sawa,
ni
sawa
Nami
nitafika
(Mwanadamu
hawezi
panga)
Ni
sawa,
ni
sawa
Nami
mimi
utanipa
(Sitozuguka
kwa
waganga)
Natapa
tapa
elimu
sina
Mi
kusoma
sijasoma
Nami
nasaka
nijenge
heshima
Mi
nakoma
ju
wananichoma
Ni
wewe
pekee
ndo
naye
jua
Ah
mbele
yangu
na
nyuma
yangu
Mie
mpweke
naomba
dua
Ah
Baba
fungua
ridhiki
zangu
Nashukuru
Baba,
pumzi
unayonipa
Maisha
naendelea
Ila
kingine
Baba,
nadhalilika
Huu
mzigo
unanielemea
Baba
niwewe
Baba
(Ni
wewe)
Niwe
ndo
msaada
(Ni
wewe)
Ni
wewe,
ni
wewe
Baba
ni
wewe
Uniepushe
mabaya
dunia
Yasijenikumba
Napiga
goti
kwa
uchungu
nalia
Ni
nusuru
muumba
Katu
sikate
tamaa
Niende
kusaka
tonge
Nipate
ama
nishinde
njaa
Moyoni
upige
konde
Ni
sawa,
ni
sawa
Nami
nitafika
(Ata
nikikosa
sawa)
Ni
sawa,
ni
sawa
Nami
mimi
utanipa
(Ah
ridhiki
we
ndo
unayegawa)
Sawa,
ni
sawa
Nami
nitafika
(Mwanadamu
hawezi
panga)
Ni
sawa,
ni
sawa
Nami
mimi
utanipa
(Sitozuguka
kwa
waganga)
Attention! Feel free to leave feedback.