Lyrics Nani Kama Mama - Isha Mashauzi
Kumepambazuka
Asubuhi
na
mapema
Najitoa
shuka
nahisi
tunazozana
Kumbe
moyo
na
nafsi
vinakwazana
Na
sitaki
moyo
kupenda
tena
Mwili
umekufa
ganzi
maumivu
mwili
mzima
Moyo
unauliza
nafsi
kumbuka
yale
ya
nyuma
Niliteseka
na
penzi
langu
Mama
mama
Masikini
moyo
wangu
mie.
Sasa
nimpe
nani,
anaejua
thamani
Ajue
mimi
ni
nani,
bilinge
sizitamani
Sasa
nimpe
nani,
ataejua
thamani
Ajue
mimi
ni
nani,
bilinge
sizitamani
...
Niliompata
ntamlinda
kama
mboni
ya
macho
yangu,
maaachooo.
Anaejua
kupenda,
anaejali
thamani
ya
neno
looove.
Niliompata
ntamlinda
kama
mboni
ya
macho
yangu,
maaachooo.
Anaejua
kupenda,
anaejali
thamani
ya
neno
looove.
Nawe
usinidhihaki,
usiponipenda
mie
Sijazoea
mikiki
napenda
raha
mieee
Niliteseka
na
penzi
langu
Mama
mama
Masikini
moyo
wangu
mie.
Sasa
nimpe
nani,
anaejua
thamani
Ajue
mimi
ni
nani,
bilinge
sizitamani
Sasa
nimpe
nani,
ataejua
thamani
Ajue
mimi
ni
nani,
bilinge
sizitamani
...
Attention! Feel free to leave feedback.