Izzo Bizness - Ball Player Lyrics

Lyrics Ball Player - Izzo Bizness



Yes it's fishcrub cok out
You know how we do yeah
Another one
Lamar in the same beat
We rise
It's fish crub cok out
Izzo b quick racka ngwair
What you say man
(Chorus)Quick Racka
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
(Verse1)Izzo Business
Baba mama wananiombea niweze fanikiwa
Hata watu wangu wa mbeya hivyo hivyo pia
Kama snitch we jipange jipange tena sana
Salute kwa mama mwakapange umetulea mama
Nimekuja dar sina gheto
Ila now nahishi kwangu
Day na mambo mpeto
Namshukuru mungu
Big up kwa salehe gadau
Na beka masonga
Kiukweli me sitosahu
Na mbele tunasonga
Plan zipo mpaka Z
Ila ndio kwanza nipo plan A
Hustle hard everyday
Ukinikuta kariakoo utasema sio mimi
Kwenye pesa toa macho ndio kanuni ya mjini
Kama kweli unanckia siku hizi mchongo pesa
Hata uwe mbaya wataaminia
Masister doo utawatesa utaitwa handsome
Hatakama sura mbaya
Hii ndio daslam unakana kwenu huna haya
Eti am Flexin everyday,
Nigga unajikuta Mike Kimei...
(Chorus)Quick Racka
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
(Verse2)Ngwair
Cowizz
Me nahustle hard ndio swagger zangu everyday
Big beats zina heat kwa streets bila dre
Kumbuka nilizaliwa mbeya mwanachemba wa east zoo
Mbili ni bora zaidi ya moja na tatu
Ndio dangerous
Mwanajeshi ambaye mpaka usingizini nimejikoki
Maisha siwezi kuyachekea
Kozi yangu sio ya joti
Me huu muziki uwa naudai ndio maana uwa sichoki
A.k.a mimi bado naimbwa kitaani kwa karioke
Wakati umezubaa unanidis kwa mtaa
Mi nafanya business zangu na quick kwa lamar
Kwanza nikifika uwa nakunywa navuta kama nipo bar
Then kwa booth natoa sauti za busara kwa zanzibar
We hujui nilivyohustle mpaka leo kuwa ngwair
So ongea ongea hizo diss.com nishazoea
Unaeza paka unavyotaka me sijali ukininyea
We unabeep njoo gheto dogo nitaku#*&&
(Chorus)Quick Racka
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
(Verse3)Izzo Business
Izzo ndio mbeya
Iko wai waulize na wanajua...
Haifichi iko wazi we dafu na nakufua
Salute kwa kaka zetu japo wachache wenye love
Hawatupendi si wa sasa kumbe kisa cha kipumbavu
Kurudi kweli ntarudi ntarudi kusalimia
Hapa kazi sala juu ukibana basi utaumia
Huu muziki sijaanza juzi usipagawe me nashine
Muuza nyago zako makuzi
Usijaribu kucombine
Mishe mishe hustle hard kama kawa
Mbeya niwavalishe hawa waduanzi wanapagawa
Demu wako shabiki wangu kisa kipi sasa we unanuna
Itakuaje sasa akisafisha rungu si utaomba nirudi mazima
Am music enteprenuer
You can call me izzo businaa
Wasap yaya
Salute kwa washua kwa kunikuza me
Wanafki wanaochonga me sawasikii
Izzo naongeza bidii
(Chorus)Quick Racka
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
I galla keep on moving
And my hood still sunshine
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
I move like ball player...
(Repeat till fade)




Izzo Bizness - Haina Kufeli
Album Haina Kufeli
date of release
06-10-2015




Attention! Feel free to leave feedback.