Lyrics Love Me - Izzo Bizness
Here
they
talk,
let
'em
talk
girl
Now
what
they
talk?
Here
they
talk,
let
'em
talk
girl
Now
what
they
talk?
Here
they
talk,
let
'em
talk
girl
Now
what
they
talk?
Here
they
talk,
let
'em
talk
girl
Ah
haa
Kama
kijana,
nilishafanya
vitu
vyote
pia
nikamaliza
Na
mwisho
wa
siku,
akili
yangu
kwake
kabisa
ikagota
Please
don't
judge
me
(don't
judge
baby,
don't
judge
baby
eh)
Baby
love
me
(I
love
you
baby,
I
love
ya!)
Mapenzi
hatujaanza
juzi,
long
time
niko
nawe
Naomba
radhi
nikikuudhi,
nahisi
nimeumbwa
na
wewe
We
barafu
wa
moyo
wangu,
acha
leo
niweke
wazi
Labda
shahidi
yangu
Mungu,
nikiwatoa
wazazi
Nakumbuka
toka
shule,
enzi
za
sekondari
Baby
ulikuwa
pale,
we
ulionyesha
kunijali
You're
the
one
in
a
million,
naapa
kwa
jina
langu
Ah
Jose
Chameleone,
'Sina
var
Luvalu
baby'
Tangu
Izzo
naitwa
Imma,
we
ulikuepo
ulisimama
Matatizo
yalituandama,
we
hukuchoka
ulipambana
We
ndo
maana
ya
mapenzi,
mapenzi
yanakuogopa
Hawa
vicheche
ni
washenzi,
hawajui
wanachotaka
Ntakujali
na
kukuheshimu,
acha
woga
mi
bwana
ako
Ya
kwetu
jukumu
letu,
hayawahusu
shoga
zako
We
ndo
Alicia,
mi
ndo
Swizz,
tupa
mbali
Jay
Z,
Beyonce
Shaa
ndo
keys,
MJ
beats,
anayebisha
shauri
yake
Kama
kijana,
nilishafanya
vitu
vyote
pia
nikamaliza
Na
mwisho
wa
siku,
akili
yangu
kwake
kabisa
ikagota
Please
don't
judge
me
(don't
judge
baby,
don't
judge
baby
eh)
Baby
love
me
(I
love
you
baby,
I
love
ya!)
Kama
ku-cheat,
nisha-cheat
sikufichi
honey
Nisamehe
yo
my
sweet
honey,
ni
pepo
sio
mi
Ruksa
kamba
we
nifunge,
nishatua
hapa
We
ni
jimbo
nami
mbunge,
nishatua
hapa
Mapenzi
moto
moto
mpaka
joto
linaona
wivu
Nikuite
nani,
ama
mtoto?
Leo
baby
naomba
kavu
We
mtamu
kushinda
asali,
hakyamungu
utaniua
Acha
waseme
mi
sijali,
haki
ya
Mungu
utaniuaa
Acha
basi
nikusifie,
sifa
ulizonazo
Ila
baby
usijisikie,
ikawa
kama
chanzo
Guu
lako
sio
la
bia,
baby
guu
la
champagne
Leo
wazi
nakuambia,
hey
you
got
that
thing
Midomo
wet
sio
mikavu,
ona
wanaona
wivu
Umejazika
si
sana,
maana
sana
inaboa
Hasa
kwa
sisi
waungwana,
sana
inaboa
Macho
na
hizo
hips
ndo
nakufa
kabisa
Kama
kijana,
nilishafanya
vitu
vyote
pia
nikamaliza
Na
mwisho
wa
siku,
akili
yangu
kwake
kabisa
ikagota
Please
don't
judge
me
(don't
judge
baby,
don't
judge
baby
eh)
Baby
love
me
(I
love
you
baby,
I
love
ya!)
(I
love
ya)
I
love
you
baby,
I
love
ya
(I
love
ya)
I
love
you
baby,
I
love
ya
(I
love
ya)
I
love
you
baby
(baby),
I
love
ya
(I
love
ya)
Ah
ah
I
love
ya
(I
love
ya)
I
love
you
baby,
I
love
ya
(I
love
ya)
I
love
you
baby,
I
love
ya
(I
love
ya)
I
love
you
baby
(baby),
I
love
ya
(I
love
ya)
Ah
ah
I
loving
ya
Kama
kijana,
nilishafanya
vitu
vyote
pia
nikamaliza
Na
mwisho
wa
siku,
akili
yangu
kwake
kabisa
ikagota
Please
don't
judge
me
(don't
judge
baby,
don't
judge
baby
eh)
Baby
love
me
(I
love
you
baby,
I
love
ya!)
Yeah!
Hii
special
kwako
baby,
au
sio?
You're
the
one
and
only
Yo
miss
Bizz.
miss
Bizness,
baby
Hahah
I
love
you,
baby
aah
1 Bussiness
2 Barua
3 Ridhiwan
4 Ball Player
5 Tenzi Za Mapenzi
6 Love Me
7 Utarudishwa Mbeya
8 Mwaka Jana
9 Tummoghele
10 Rizi One
11 Walala Hoi
12 Kidawa
Attention! Feel free to leave feedback.