Lyrics Goroka - Jay Melody
Naomba
dua,
pendo
liendelee
Lisije
likaungua,
kwa
maneno
lipotee
Nitaomba
samahani,
makosa
unisamehe
Siunajua
Hali
yangu
temeze
Mamy
ridhika
na
goroka
Usije
we
ukanizuga
Na
penzi
letu
game
la
nyoka
Angalia
usije
gonga
Mamy
ridhika
na
goroka
Usije
we
ukanizuga
Na
penzi
letu
game
la
nyoka
Angalia
usije
dunda
Mi
nakuzimia
aaaah
sana
Oooh
ouuuo
aaah
sana
Iyaga
iyooo
aaah
sana
Uooh
ouuuo
aaah
sana
Mi
nakuzimia
aaah
sana
Iyeyee
iyeee
aaah
sana
Iyaga
iyoo
aah
sana
Uooh
ouoo
aah
sana
Eeeeeh
aaaaah
Uoouoh
aaaah
Usisikie
maneno
ya
watu
Ukaniacha
mimi
Mwenzio
mi
nitapoteza
Jua
nakuamini
Kelele
na
maneno
ya
fyatu
Usitie
akilini
Mwenzio
mi
ngumu
kumeza,
sio
mboga
sabini
Wajinga
hawataki
ibaki
kismati
mi
nipate
raha
aaaah
Wanaanda
kamati
Minuno
ya
kila
saa
Isengwembaka
bas
eti
kisa
ashuo
Fujo
kila
saa
aaah
Simu
zao
za
smati
Mapicha
ya
kila
saa
aaah
Mamy
uridhike
na
goroka
Usije
we
ukanizuga
Na
penzi
letu
game
la
nyoka
Angalia
usije
gonga
Mamy
ridhika
na
goroka
Usije
we
ukanizuga
Na
penzi
letu
game
la
nyoka
Angalia
usije
dunda
Mi
nakuzimia
aaaah
sana
Oooh
ouuuo
aaah
sana
Iyaga
iyooo
aaah
sana
Uooh
ouuuo
aaah
sana
Mi
nakuzimia
aaah
sana
Iyeyee
iyeee
aaah
sana
Iyaga
iyoo
aah
sana
Uooh
ouoo
aah
sana
Mi
nakuzimia
aaaah
sana
Oooh
ouuuo
aaah
sana
Iyaga
iyooo
aaah
sana
Uooh
ouuuo
aaah
sana
Mi
nakuzimia
aaah
sana
Iyeyee
iyeee
aaah
sana
Iyaga
iyoo
aah
sana
Uooh
ouoo
aah
sana
Attention! Feel free to leave feedback.