Jay Melody feat. Nandy - Namwaga Mboga Lyrics

Lyrics Namwaga Mboga - Nandy , Jay Melody



Aaah oooh
Nimefanya vingi ukaniona zezeta
Ooh kisa madingi ndo kwangu ukapeta
Me sina shilingi unaniona njegeka
Ugonjwa wa moyo kutetemeka mama
Kunikana ndo waziwazi aibu hauoni
Mapicha ya huko status unamkomoa nani
Mipaja hadharani wafanya biashara gani
Unafanya makusudi ilinikose amani
Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali
(Mie na mwanga mboga) ohh oh
Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali
(Mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga)
Aah aah aah aah
Bora kuachana unanizingua
Maana unagubu wewe
Wewe huna kutua
Maneno kusemeshana unajikamua
Sa vipi nikuelewe huna hata mia
Unatia pini wanawachuna
Utanimiliki vipi pesa hauna
Mashetani kama jini ukianza kununa
Meshazoea chips sitaki nguna baba
Hapa umeya vagaa
(Mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali
(Mie na mwanga mboga) ohh oh
Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali
(Mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga)
Freshi yaishe leo za kwangu hamsini na za kwako chukua
Mama yaishe leo tukaushiane tusifatane
Bwana yaishe leo za kwangu hamsini na zakwako chukua
Baba yaishe leo tukaushiane tusifatane
(Mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali
(Mie na mwanga mboga) ohh oh
Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali
(Mie na mwanga mboga)
(Mie na mwanga mboga)



Writer(s): Sharif Juma


Jay Melody feat. Nandy - H.E.R.
Album H.E.R.
date of release
08-10-2018



Attention! Feel free to leave feedback.