Jovie Jovv - Kibare Kwa Face Lyrics

Lyrics Kibare Kwa Face - Jovie Jovv

Everybody up
Ya ya ya ya ya
Cheza na jovi utakula kibare kwa face(kibare kwa face)
I trap in the east and not the south and west(south and west)
Mse nilikuambia lakini manze uliniwaste(manze uliniwaste)
Dem ananikwamilia anasema hataki space(lets get it,space)
Buda research am known in every place(in every place)
Ukinitoka ujue nitakutrace(nitakutrace)
Nilichapia huu hoe sitaki sex(sitaki sex)
My pockets on suma im bout to flex(im bout to flex)
Smokin the shasha (smokin the shasha)
Vile zimeshika nawaza(yah)
Kama najibling najibling na mabawa
Juu maze mi nafeel niko sawa(niko sawa)
Girl your cookies think know your cookie sour(your cookie sour)
Enough of that boujee shit najua unapenda kugawa(unapenda kugawa)
Buda zimeshika mpaka power(mpaka power)
Is it me or is it shasha getting louder(getting louder)
Kama ni shrap you know am the founder(am the founder)
Kama natrap ni chini ya waba(eyy,lets get it)
Sikia vile beat inagonga(yah)
Mahater watazidi kubonga(yah)
Mafala watazidi kugongwa(yah)
Mambleina watazidi kutokwa(yah)
Buda manze hii ni mboka(ah)
Hakuna jokes mi si joker(ah)
Nimekusoma ondoka(ah)
Jovie jov naomoka(ey ah)
Ka nikusay ni mamillions(lets get it)
Niko na shida gazillions(gazillions)
Feel the ambience(ambience)
She wants a channel dress(channel dress)
Jovie i know am the best(i know am the best)
Buda go tell the rest(tell th rest)
You are not, dont test(eyy)
Napenda mahaga na breast(lets get it)
Cheza na jovi utakula kibare kwa face(kibare kwa face)
I trap in the east and not the south and west(south and west)
Mse nilikuambia lakini manze uliniwaste(manze uliniwaste)
Dem ananikwamilia anasema hataki space(lets get it,space)
Buda research am known in every place(in every place)
Ukinitoka ujue nitakutrace(nitakutrace)
Nilichapia huu hoe sitaki sex(sitaki sex)
My pockets on suma im bout to flex(im bout to flex)

Writer(s): Christopher Karimi Gichuki

Jovie Jovv - Bad - Single
Album Bad - Single
date of release
10-09-2019

Attention! Feel free to leave feedback.